Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nataka kuona passenger terminal ya Mwanza airport. Na siongei kuhusu hii mpya ambayo inajengwa sasa. Nataka kuona kama Mwanza airport ina passenger terminal ambayo ina hadhi kama ya Mombasa. Mtanzania yeyote apost passenger terminal ya Mwanza airport
 
glass and steel u were even bragging of steel coming from zenith Kenya!

glass and steel u were even bragging of steel coming from zenith Kenya!

Kwa hivyo sasa hivi tunavyozungumza Mwanza airport haina passenger terminal yoyote? Post tu hata kama ni kibanda cha ng'ombe. Na kama hii inayojengwa ndio ya kwanza pia sema ili tuelewe.. Mimi nilidhani kwamba Mwanza airport tayari ilikuwa na passenger terminal. Nilidhani kwamba hii mpya ilikuwa ni upgrade tu.
 
Wapi cargo terminal Moi?

largest cargo terminal East and central Africa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa mwanza bado,,,,mambo ndiyo tunayaweka sawa sasa hivi.....
Halafu mnatoa wapi ubavu wa kuilinganisha Mwanza abattoir airport na Moi international airport?
 
Wacha kujitetea kijana. Nusu ya Dar ni vijiji. Na mko busy hapa mentioning Dar's size wakati nusu ya hiyo ni vijijini kabisa. Bado nitaendelea kuleta hizo vijiji watu wajionee Dar ilviyo 😂
 
Kujitetea ni ruksa but haitaondoa ukweli kwamba nusu ya Dar ni vijiji. Hizo picha za Ruiru you can clearly see Luna hadi nyumba, tena za maana but kule kwenu ni nyasi na miti
 
Endeleeni kubaki na magofu ila Mwanza muiache kabisa, ipo ligi yake.

1. Electric train loading....

2. New modern airport

3. Cargo terminal kubwa kabisa

Lazima mkunye dafu mwaka huu [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…