The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Umeskia matusi ya Sonko kwa Uhuru?Yani mm nashangaa nchi gani siasa zinaanza miaka miwili kabla ya uchaguzi 🤣🤣🤣🤣
Huwa husahau Northern Kenya kama ni part of Kenya!Nilijua tu kaingia cha kike [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kukuUmeskia matusi ya Sonko kwa Uhuru?
Daaah itakua shida Sana 🙄🙄🙄Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Imagine wanaingia Uchaguzi wakiwa broke halafu wapigane!Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Hiyo Pai kaka (π) a.k.a 22/7[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Niliskia skia hahaha hawa 2022 watachinjana kama kuku
Uyo mkandarasi iyo barabara anataka kuijenga kwa miaka mingap hv. .....Kipande kifupi tu cha 4km lakini hakiishi
Kupiga mabanda yako 7 Tena yale mazito sio mchezo kakaTanzania One (females)
Hawa jamaa hawana akili, Matutusa tupu, huwa hata hayajui yanataka nini,Naskia walikuwa wana-support Bob Wine katika attempt ya kujaribu ku-derail EACOP!
Tony254 mna upuuzi mwingi sana!
Kwani jengo la Tanzania bureau of srandards inafanana vipi?
Niliwaambia hapa nchi imemfia kenyatta kwenye mikono yake wakaanza kulalamika 🤣🤣🤣Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa – Taifa Leo zamani ila najua mpaka leo hawajalipa, alafu wanalalama gdp kubwa.
Niliwaambia hapa nchi imemfia kenyatta kwenye mikono yake wakaanza kulalamika 🤣🤣🤣Serikali sasa yakiri deni la Sh5 trilioni ni zito zaidi kwa Kenya kulipa – Taifa Leo zamani ila najua mpaka leo hawajalipa, alafu wanalalama gdp kubwa.