Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,229
- 107,854
Wacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa! Tena superior infrstructure na hata SGR inajengwa tena ya umeme!Lakini hamuwezi kulinganisha Mwanza na Mombasa. Hilo ndilo ukweli. Nyie hamna basis yoyote ya kulinganisha Mwanza na Mombasa. Kwenye Infrastructure pekee Mombasa inaipiga Mwanza vibaya sana. Angalau Nairobi na Dar tunaweza kuzilinganisha maana zinakaribiana kwa mambo mengi lakini Mwanza na Mombasa, hapana, hio haiwezekani.
Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sasa unataka kuconpare dar na nairobi kwenye kujengeka...?
wacha ukichaa.......
sehemu ambazo hazijajengeka zipo na haziishi leo wala kesho.....we ulitaka jiji lote liwe na nyumba ...hiyo protocal umewah kuiona wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani hivi hizo vibanda ziko CBD? 😂 😂Mwenzie huyu[emoji116]View attachment 1679544
kwa hiyo kulingana na hizo km kwaakili yako hiyo ndiyo sehemu pekee ya iliyopo dar....?...Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong
Wewe si ndio uliweka hapa video juzi kwamba bado mnajenga terminal ya airport ya Mwanza? Hio airport ya Mwanza kwa sasa inapokea abiria wangapi kwa mwaka? Tuanzie hapo kwanza. Maana airport ya Mombasa (Moi airport) ina one of the highest pax in East Africa.Wacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa!
Mwambie apost picha zingine 30-40km from Dar CBD tuone zinakaaje - na akumbuke Dar ipo pwani kwa hivo haispread direction zote kama Nairobi.Sasa kama lile eneo mwenzenu ameconfirm is 35 kms from the CBD bado unataka tu tufananishe Dar na Nairobi? Huoni hats aibu? 35 kms from Nairobi and huwezipata sehemu iko wazi hivyo. Kama nadanganya prove me wrong
Mombasa airport is the third largest in EAC.Wewe si ndio uliweka hapa video juzi kwamba bado mnajenga terminal ya airport ya Mwanza? Hio airport ya Mwanza kwa sasa inapokea abiria wangapi kwa mwaka? Tuanzie hapo kwanza. Maana airport ya Mombasa (Moi airport) ina one of the highest pax in East Africa.
Tuonyeshe sehemu zilizo 25-40km from the CBD in Dar zinakaa aje nasi tukuonyeshe za Nairobi.kwa hiyo kulingana na hizo km kwaakili yako hiyo ndiyo sehemu pekee ya iliyopo dar....?...
Basi amekomalia hvyo vi video vyake yani ywaviona vya kinyamwezi kw akili zake..Kawaida yake huyu bongolala. Anasema eti Mwanza inashinda Mombasa nikimuuliza kwa lipi ananiambia niangalie video. Huyu anapendanga sana ubishi za kijinga
Heheh huu usawazi 😬 unafananisha na jiji la Mombasa🤣Mwenzie huyu[emoji116]View attachment 1679544
Hakuna kitu km port reitz highway in mombasaWacha ufala infrastructure ipi ya kujitamba Port Reitz Mombasa highway haina hata mwaka inamong'onyoka! Mwanza ina kila kitu cha kuzidi Mombasa! Tena superior infrstructure na hata SGR inajengwa tena ya umeme!
[emoji23][emoji23][emoji23]jamani hata hukumwambia vizuriYani hivi hizo vibanda ziko CBD? [emoji23] [emoji23]
Usisahau pia Mombasa iko na largest port in EAMombasa airport is the third largest in EAC.
Hii KImara Kibaha road yenu ndio kama Thika road yetu kwa upana lakini tatizo ni kwamba Kimara Kibaha road ni 19 km ilhali Thika road ni 40 km. Kwa hivyo bado tumewapiga.
Umesahau kuna slum inaitwa Bangladesh hapo MombasaHeheh huu usawazi 😬 unafananisha na jiji la Mombasa🤣
Hii barabara imeshamong'onyoka hata mwaka haujapita! Nikuonyeshe ilivyo sasa?MOMBASA hii😁
View attachment 1679558
na slums zimewekwa hapo metro[emoji23]!!!!We are talking of the built-up area (metro) and you are talking of boundaries. Are you mad? So should we say Naivasha, with an area of 1, 685.4sq. km is bigger than Dar with an area of 1,590 sq. km?
Ndio nashindwa Geza Ulole na wenzake wanapata wapi ujasiri wa kucompare Mwanza na Mombasa.Usisahau pia Mombasa iko na largest port in EA