Tembea bas ujionee maana ya metropolitan,,Thika huwa imeshikana na Nairobi,,hakuna gap Kama hizi ambazo hazijajengwaApo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
😂 😂 😂. Yani nimeshangaa sana eti hapo bado ni Dar. The same Dar tunayosifiwa hapa usiku na mchana! Siongei kiushabiki but Nairobi huwezi pata sehemu panafanana hivyo. Even the metropolitan areas of Nairobi like Kiserian, Ngong, Kiambu, Athi River et al don't look that way. Nairobi is built up all over you can't find places with such countryside feelKumbe umeona Kama Mimi,kunakaa nikama Dar iko 200km far
Jamaa anasema eti Kutoka mahali hiyo picha imepigwa hadi city center (posta) is 35 kms!! 😂 😂 From Nairobi to Rironi interchange is 52 kms using A1 (Waiyaki Way) but huwezipata sehemu inakaa hivyo. All that stretch is built up on both sides of the road. Dar is so overratedNairobi to Thika many visitors don't know when they are in or out of Nairobi,,huwa zimeshikana na Ni a stretch ya over 45km😍
Hata Nairobi tumeiona angle zote ziko sehemu kuna vichaka tu kausha[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Yani nimeshangaa sana eti hapo bado ni Dar. The same Dar tunayosifiwa hapa usiku na mchana! Siongei kiushabiki but Nairobi huwezi pata sehemu panafanana hivyo. Even the metropolitan areas of Nairobi like Kiserian, Ngong, Kiambu, Athi River et al don't look that way. Nairobi is built up all over you can't find places with such countryside feel
Kwa porojo mko vizur tunawajua ila tukipekenyua apa tutakuta miharoJamaa anasema eti Kutoka mahali hiyo picha imepigwa hadi city center (posta) is 35 kms!! [emoji23] [emoji23] From Nairobi to Rironi interchange is 52 kms using A1 (Waiyaki Way) but huwezipata sehemu inakaa hivyo. All that stretch is built up on both sides of the road. Dar is so overrated
Mbn una catch ma feelings mapema hv, tuliaaa moto bado my friend wewe na tony ni Wakenya pekee ambao nimewaita rafiki so tulia rafiki yangu nicxie kazi bado mbiichii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kwani ni wewe umeshikilia maisha ya watu humu ndani ndio useme uwaachilie wafe? Mbona unaongea kiboya hivi? Halafu this is internet, you may think you know a person kumbe you don't know anything about them. Just the same way you think you know me ila hakuna unachojua kunihusu hata chembe. You've just given an example with Chamoto. He hasn't talked about his whereabouts or what he does for a living but you've taken it upon yourself to tell the world about him like he asked you to. Hizi tabia ni za kike
Tulia nicxie wacha mapepe kazi bado inaendelea [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]Bongolala, I was making reference to the surrounding area, not the road in particular. Nimesena hiyo sehemu inakaa kijijini. Hata kijijini kwetu afadhali
My friend Nicxie[emoji3516][emoji3516]Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Yani Kutoka hapo hadi Dar city center is only 35 kms? Na inakaa ushagoo hivyo? 😂 😂 😂Apo Ni kibamba mwisho barabara pembeni apo 90m each side hakuna nyumba zilivunjwa...kutoka apo hadi city centre ni 35km
Did anybody say that it’s a big deal? I simply supported him for what he said. Did I say that Tanzania is mentioned more than Kenya? Nope! Did I include your name in my post? Nope! You need to mind your goddam business! I have no interest in your drama and shenanigans! Every single time you feel the need to meddle in business that is not your own you usually quote me. Please find someone else to play with. I’m not your type!Mbona hizi ni vitu za kawaida sana. I am currently watching Designated Survivor on Netflix and they've mentioned Kenya and Nairobi so many times. I have watched lots of movies mentioning Kenya or Kenyan cities/towns but I don't see it as a big deal
Jamaa wamejiumbua[emoji23][emoji23]Yani Kutoka hapo hadi Dar city center is only 35 kms? Na inakaa ushagoo hivyo? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hee Uyu kitumbua vpJamaa wamejiumbua[emoji23][emoji23]
Tatizo siyo matumizi ya mtu mmoja mmoja bali kuwa na idadi kubwa ya watu kutumia kwa wakati mmoja (80% herd immunity). Tanzania kulikuwa na kampeni nchi nzima kutumia hiyo mimea, ikihamasishwa na rais mwenyewe.What you are saying here in a whole page is basic knowledge ambayo every average person ako nayo. Nothing new there. Tangawizi na kitunguu saumu kila mtu alitumia wakati huu wa corona, myself included, as a way of boosting immune system. Why do you think that the use of these two was only limited to Tanzanians? Even Americans used these two, but they still died in thousands. Tell us how Tanzanian's "combated" corona and stop this stupid talk.
Hii imenishangaza sana. Yaani 35 km from Dar hakuna majumba yet Kenya 35 km from Nairobi kuna majumba na apartments za watu kuishi? Naongea kuhusu maeneo ya Juja na Thika. This is suprising. To make matters worse, ikumbukwe kwamba Dar can only expand in one direction in the inland direction. Dar haiwezi kuexpand towards the ocean so I expected Dar iwe ime-expand more than 60 kilometres inland. Nairobi inaweza kuexpand in all directions and ukienda 40 kilometres in all directions bado utapata majumba huko.Kumbe Dar ni kubwa kieneo tu 😂 Much of it hakuna cha kushangilia and a good example is this picture. Tukiondoa hiyo barabara, hiyo sehemu imepigwa picha hata kijijini kwetu ni afadhali
Tuambie ni wapi. Nairobi kuna gazetted areas like parks and forests. Sehemu Kama hizo huwezijenga anything kwa sababu sheria haikubali but apart from hizo sehemu huwezipata place inafanana hivyo Nairobi na watu wako free kuendelezaHata Nairobi tumeiona angle zote ziko sehemu kuna vichaka tu kausha