duuhhh !!! hiyo type ya mkokoteni umefata nin hapo site mbona mnafanya kazi za ujenzi kilocal sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji4]Mchina mbona asitafutwe[emoji23][emoji23]View attachment 1678051View attachment 1678052
Train ni tatu kwa siku kila upandeVituo vikubwa abiria Hakuna, train 1 kwa siku tena ni Mombasa Nairobi tu
and still u r minting losses like no one's business!Monbasa Nbi ni train tatu kwa siku ya abiria. Za mizigo ni zaidi ya trains kumi mbili kwa siku.
Hiyo inayoelekea usagara inaunganika na Busisi bridge.
Pale chini BRT awamu ya tatu,posta unaweza kuisahau kwa muda,kitakachotuokoa ni unguli wa kujua majengo flani flani kwa wale tulio mbali.😄😄Hii ngoma ikiisha hii itapendezesha sn jiji, hahahahaaaa Wakenya another blue loading......
Sasa ndio mumeanza kujenga interchange? Aki mko nyuma.
Nyie mna daraja la maana Kenya nzima? Hebu angalia hiyo interchange na barabara zake halafu uniambie ukiacha Kampala ni jiji gani around Lake Victoria lina design nzuri namna hiyo?Sasa ndio mumeanza kujenga interchange? Aki mko nyuma.
Sisi tuna interchanges nyingi sana. Zaidi ya kumi. Hata Eldoret ina clover-leaf interchange. Nyinyi saa hii ndio mnaingia kwa haya mambo.Nyie mna daraja la maana Kenya nzima? Hebu angalia hiyo interchange na barabara zake halafu uniambie ukiacha Kampala ni jiji gani around Lake Victoria lina design nzuri namna hiyo?
Kampala Entebbe expressway.
Haha kumbe mumeiba interchange ya Uganda. Venus Star niliwaambia kwamba kwenye sophistication ya barabara mko nyuma sana. Hata Uganda wamewashinda.
Yule wa Mpemba effect auu?Ni Watanzania wangapi hapa wanaomfahamu Erasto Mpemba?
Ndio. Naona unamfahamu.Yule wa Mpemba effect auu?
Namfahamu kiasi, vp imekuaje tena!Ndio. Naona unamfahamu.
Ukiona hvyo tumeipenda hyo na tunataka km hyo dhambi iko wapi.Kampala Entebbe expressway.
Shida mnatumia pic ya nchi ingine,
Tumieni renders zenu wenyewe.