Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatizo hzo nchi zote wanatii kwetu[emoji23][emoji23]
 
Unalinganisha currency za asia na afrika[emoji23][emoji23]
Akili zenu bado mgando sana, yani asia na afrika ni sehemu mbili tofauti sana yani wala hatuingiliana kivyovyote vile...

Twendeni kikanda km vile EA, tunaingilia vizuri tu[emoji23][emoji23]
Mfano mwngine ni north america, yani wale wajuba pia wanaingiliana vizuri..

Sio eti unalinganisha canada na france
 
point yako ni ipi sasa hapa kwa mfano[emoji16][emoji16][emoji16].
 
Ndio mnaambiwa Kenya bado Sana tukiweka vitu kwenye uhalisia unakuta nyie ni watu maneno mengi lakin sufuri kwenye vitendo muulize mwenzako mwenye kulinganisha sarafu ya Zimbabwe na bongo alafu upate jibu ya kwa nini tumetoa huo mfano 🙂
 
Is your country on inflation or are competing with ZIMBABWE,too many zeros on your currency foolView attachment 1675524View attachment 1675525
Hapo je napo economy yenu ipo juu kuliko hawa? Hayo makaratasi yenu hayana maana sana kama purchasing power yake ni ndogo. Ushamba na ujinga tu umekujaa kichwani halafu eti mnajifanya mpo educated. What a pit!



 
Inaonekana huko shuleni ulikuwa unakwenda kusomea ujinga tu. Hivi point hapa ni ukanda au point ni purchase power ya currency?
 
Wakenya wengi sana wanakimbia nchi yao maana wazungu na wachina wamewanyang'anya jobs na business
 
Inaonekana huko shuleni ulikuwa unakwenda kusomea ujinga tu. Hivi point hapa ni ukanda au point ni purchase power ya currency?
Mazingira ya asia na afrika ni tofauti mzee baba, hapa tunaongelea afrika sana sana EA yani tunaendana karibia kila kitu..

We unatuletea wajapan hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…