Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Insecurity hii hapa, aibu sn [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90]

 
Sasa mbona unasisitiza ni vichakani wakati hata hujakanyaga huko. Kama hiyo ya Suswa ni banda ya kuchunia ngozi ya ng'ombe, hii yenu tataitaje?
View attachment 1675105View attachment 1675108

kuna kitu kinaitwa value for money (getting the right quality, in the right quantity, at the right time, for the right/optimum purpose at the right price)..
sio nyie mmejengewa hekalu la mabilioni ili kuhifadhi popo
 
Sioni tower mm,nyie ndio mmeanzisha maneno ya khanga ooh Dar tower tatu tu ooh sijui nn wewe ukiangalia hapo unaona nn?kama hapo waziona tower hapa zipo ngapView attachment 1675182
Mkuu siyo kwamba hawaoni hizo towers nyingine bali wanazipenda sana hizi towers 3 kutokana na design yake kuwa nzuri na ziko very colorful. Na kama hizi tower zingekuwa Nairobi amini nakuambia wangekuwa wanazipost humu kila siku toka asubuhi hadi jioni. na ungesikia wakitamba kwamba "The best colorful towers in Africa".
 
bila kusahau wangeziongeza na minara juu[emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania imeamua kuwekeza kwenye miradi inayogusa watu wengi... 2025 Tanzania itakuwa ndoto ya Kila mtu ukanda huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…