Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umemaliza? Maana Mimi naona vijiti vimesimama hewani...not actual buildings. Na kelele zote bado real estate value ya Dar is ahead of Nairobi’s! Dar’s CBD is more than the β€œblue towers” Here are some throw back pictures of Dar’s CBD
 
Kwani huoni Westland iko more modern than your old cbd. ..?
CBD yetu imeamsha majengo mengine modern sana mzee. CBD ya Kenya saa hii ni moto sana hata usicheze. Usiidharau CBD ya Kenya maana majengo mapya yanazinduka kila uchao.
Kuna parliament towers


Kuna CBK pension house (hilo jengo la kushoto)


Halafu pia kuna nyingine inaitwa Hazina trade centre, ambayo bado inajengwa lakini ujenzi upo karibu kuisha.
Ndio hio hapo nyuma ya wanariadha waendeshaji baiskeli


Unaweza kuiona Hazina trade centre kwa umbali kwenye hii picha ya chini. Lile jengo la glass.
 
Siku Mzizima towers ambazo ni mbili (35 + 33) zikiwa completed utaona hizi pimbi zenu zitakavyokuwa mediocre.
 
Hiyo yote Ni Nairobi au unamaanisha nn unaposema hujaweka CBD ya Nairobi
CBD ya Nairobi bado sijaweka. Nitakuja kuweka baadaye. Mtakimbia humu. Nyie mna business diatrict moja sisi tuna business districts tatu yaani Westlands, Upperhill na Nairobi CBD.
 
Wazee niweke CBD sasa? Mumetosheka na Westlands na Upperhill? Hahaha. Subiri nakuja kuweka CBD.
 
Currently, Dar has four business districts.
1. City centre
2. Kariakoo
3. Silicon Dar
4. Ubungo-Mwenge area
Zina skyscrappers kweli? Ukiwacha city centre yenu yenye glass tatu za bluu nyie hamna business districts ambazo zinaweza kukimbizana na westlands na upperhill.
 
Wewe weka hata kibera! No one’s falling for your bullshit! πŸ˜‚πŸ˜‚
Hahaha naona umeanza maumivu. Mlikuwa mnadhani kwamba Nairobi ni CBD pekee. Sisi tunajenga in three business districts. Nyinyi mnajenga city centre pekee.
 
Zina skyscrappers kweli? Ukiwacha city city centre yenu yenye glass tatu za bluu nyie hamna business districts ambazo zinaweza kukimbizana na westlands na upperhill.
Sasa umeanza shobo zako hizo. Tukianza shobo utakimbia humu. Wewe twende tu tararibu.
Taja hizo CBD zenu halafu tuambie how many buildings has 25+f!?
 
Wewe twende na utaje majina ya hizo CBD. Usije ukajifanya huoni.
Nimeshasema kwamba Kenya tuna Westlands, Upperhill na CBD. Hizi ni business districts tatu za Nairobi. Nyinyi mna business district moja.
 
Hahaha naona umeanza maumivu. Mlikuwa mnadhani kwamba Nairobi ni CBD pekee. Sisi tunajenga in three business districts. Nyinyi mnajenga city centre pekee.
Like I’ve said before..no ones falling for your bullshit. Mdomo mwingi vitendo vichache! Hiyo CBD mavi nani haijui?
 
Sasa umeanza shobo zako hizo. Tukianza shobo utakimbia humu. Wewe twende tu tararibu.
Taja hizo CBD zenu halafu tuambie how many buildings has 25+f!?
Mimi sina muda huo wa kuhesabu. Mimi naweka picha wadau wajiamulie
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…