Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

na nyie siku hizi huwa mnaangalia mahitaji...?.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe mmekua eeh

how about some of your sgr stations ex. Suswa station ,je imejengwa kulingana na mahitaji huko maporini....?View attachment 1674796
Umewahifika Suswa ukajua ni pori? Or is it just because inashinda zile zenu kwa ubora?
 
Kwahiyo density hamtuwezi au sio.
Hio ni debate ya siku nyingine. Leo nataka mjue kwamba mna business district moja na sisi tuna tatu. Sisi tuna skyscrappers za kufa mtu katika districts tatu. Hizo skyscrappers ulizoniwekea ni fupi sana. Halafu hujanipa majina ya hizo districts
 
Mzee mimi siongei kuhusu density. Naongea kuhusu skyscrappers.
Let me try to address the kind of stupid mentality that exists in your head. Nairobi and Dar Es salaam are vastly different. Not just in geographical sense but in administration too. Just because your city government approves skyscrapers more often than ours, it doesn’t mean that we are any less than you. Remember, Dar’s real estate value is ahead of Nairobi’s! Also, Skyscrapers aren’t a necessity. Some European cities could have thousands of skyscrapers yet they decided to go for a few because they want to preserve their typical building culture.
 
The best 007 mwenzako huyu ameshakubali kwamba hamna skyscrappers nyingi.
 
The best 007 mwenzako huyu ameshakubali kwamba hamna skyscrappers nyingi.
Hii issue tulishaimaliza unataka tuanze tena!?


Above 25F

TPA |40F
PSPF Tower A|35F |
PSPF Tower B|35F |
Mzizima Tower Office |35F
Mzizima Tower Residential|33F|
PPF HQ |40F|
MNF Tower 1 |32F |
MNF Tower 2 |32F |
Uhuru Media Tower |32F|
Rita Tower |30F |
Millenium Tower II|30F |
NHC Morocco Square Tower 1|30F|
NHC Morocco Square Tower 2|30F|
NHC Golden Anniversary Building |26F|
Umoja wa Vijana Complex Tower 1| 25F |
Umoja wa Vijana Complex Tower 2| 25F |
Uhuru Heights | 25F |
NHC Morocco Square Tower 3|25F|
 
Mbona umesahau Kilimani na Parklands?

Kilimani


Parklands
 

Attachments

  • 2464168_IMG_20200723_124633.jpg
    367.4 KB · Views: 25
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…