Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha mchezo. Kenya posche zimejaa kama njugu. Hio ndio maana posche iliamua kufungua show room Kenya na sio Tanzania kwa sababu tuna purchasing power. Nyinyi inabidi mje hadi Kenya kununua posche. Hamjafika level ya kuwa na show room ya posche.
Wacha upumbavu ww, hiyo mentality ni ya kipuuzi kabisa, ilikuwa miaka ya nyuma huko wkt huo Tz ilikuwa bize kusaidia nchi za kiafrika kuwa huru but nowadays investors wameona sehemu salama ya kuwekeza ambayo ni Tz, tunaanza na Scania zen hao wengine wote watafuata.

Si umeona makampuni yanavyoondoka Kenya kwa speed ya light au unajifanya blind [emoji3][emoji3][emoji3]
 
The arrivals lounge is small making it look overcrowded but the tourists numbers are average😉
Umeumia au sio, tutapaka mate [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kama nyinyi ndio giants wa EA basi nieleze kwa nini posche kaamua kufungua show room Kenya na sio Tanzania.
 
Kampuni gani ya magari kenya imedondoka
 
Kama nyinyi. Ndio giants wa EA basi nieleze kwa nini posche kaamua kufungua show room Kenya na sio Tanzania.
Alifungua mwaka gn, tuanzie hapo alafu mbn tunabishania upuuzi huu yn badala tuongelee plant za ku manufacture hzo mambo au japo za ku assemble, ww unaongelea showroom 2021 really??

Btw issue ya road network ndo kusema upo bize na kazi ila hii ya showroom uko free [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Naona kazi imeanza kweli yajayo yanafurahisha 😃
 

Attachments

  • swahilitimes-igtv-2021_01_11_12_15.mp4
    19 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…