President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,722
- 94,416
Manzese sasa naona inabadilika.hiyo manzese siku za usoni itapotea na kuwa mpya.....
kama umegundua kitu kwa watu wanavuliwa sana nyumba zao na zinajengwa hotels na lodge hiyo sehemu inachange taratibu
ni mwendo wa mitumbwi na ngalawa!Hivi wakunya wakitaka kwenda kwenye visiwa vyao ndani ya Victoria wanatumia usafiri gani? 😁😁
View attachment 1673580View attachment 1673582View attachment 1673583View attachment 1673584View attachment 1673586
ilala,buguruni,magomeni,manzese,makumbusho na baadhi ya location nyingine ni sehemu ambazo lazima watu wavuliwe nyumba zao na watu watawekeza majengo marefu ..Manzese sasa naona inabadilika.
Barabara za mitaa zinajengwa.
Excuses kama kawaida yenu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]Propaganda za uchaguzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pangani bridge more than 500meter[emoji116][emoji116]
View attachment 1673624View attachment 1673625
Onesha...What I can see here are unmarked roads[emoji1787][emoji1787][emoji23]