Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna hii mobile App(Android and iOS)
Nimeitengeneza kwa C# inaingia sokoni muda sirefu.
View attachment 1672636
Aisee SGR ya JPM imegonganisha likely interests! mi sikufanya computer science only developed interest on a project that involved the use of VBA automation from that moment onwards i came to like coding as a whole!

Hongera sana!
 
Enjoy Westlands Market Mkiendelea kupost renders na kurudia mapicha[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]

View attachment 1672642View attachment 1672643
Watu wanaanza kupost magenge, yn hapo ndo katafuta kweli kweli, watu tunapost maghorofa wao wanapost magenge, nmecheka sn [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji204][emoji204][emoji204]
 
hii kitu itapandishwa ghorofa pia! angalia wameezeka zege!
 
Wakuu naona kwenye Markets tushamalizana km vp tuhamie afya au mnasemaje wakuu, ngj niwastue kdg hawa wakunya, naweka hospitali iliyo interior kabisa a.k.a remote area.

Mwalimu Nyerere Memorial Hospital, Mara [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205][emoji90][emoji90]View attachment 1672682
 
+Abattors
+dumping sites
+ water vessels
 
mmetushinda tu kwa mdomo ila facts zinawaumbua
 
Nawatisha kdg wakuu, naweka hospitali za interior kwnz, Tony254 co tu kwenye masoko na shule hata kwenye Afya hamtuwezi pia, hii hapa ni the modern hospital in Mtwara region [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji90][emoji90][emoji375][emoji373][emoji2923]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…