Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngj aje na hoja ya shule af tuanze upya ila hawezi kuirudia hii battle [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Hahahaha yaani kiringi chao chote hakitaki hata kusikia kuhusu hii kitu, kuna yule jana alikua akishangilia ushindi sijui hata kafia wapi? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
. Ukizungumzia ujenzi Basi tz ni kitu kingine . imagine ndani ya miaka mitano tu tumefanya your haya .Kenya iliwachukua vipindi vinne vya uraisi almost 16 years ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ili kukamilisha tuliyapiga ndani ya miaka mitano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ