Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ila guys kuna kitu nakiona miaka 10 ijayo..Miradi inayotekelezwa Tanzania, biashara za madini na mapinduz ya kiuchumi yanayoambatana na viwanda bila kuhusahau sekta ya entertainment kwenye mpira na music inavyolipa hapa Tanzania mpaka Wakenya kutamani basi miaka michache ijayo tujiandae kupokea wazamiaji wengi sana kutoka kenya kuja kusaka maisha yaan hili naliona kabisa.
 
Naona tunakubaliana sasa[emoji1787][emoji1787]. Thanks for being honest and accepting that BRT ya Tanzania ni level ya matatu huku Kenya[emoji23][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23]
Kumbe hapo ni Kenya kweli, nilidhani masiala [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mbn miaka 10 mingi mkuu, tegemea hilo kutokea less than 5yrs from today, ila Mungiki wanakabwa saivi itakuwa ngumu kujazana huku labda aje Rais mtakatifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…