Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nikuulize dogo, mbona matajiri wenu wanatuma watoto wao kukuja kusomea Kenya as from shule za msingi, secondary, na higher education? utapata many Tanzanians as far as Eldoret, na wengine wanapelekwa Uganda!? kulikoni Tz? Kelele tu but nothing!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alisikika chawa mmoja akiropoka toka mathare[emoji23][emoji23][emoji23]

evidence pliiiiz
 
asilimia kubwa huwa ni failier.......99%
 
na hata tumeacha siku hizi kupeleka watoto huko[emoji23][emoji23][emoji23].

yaani ukipeleka mtoto kenya unaonekana mshamba,una mawazo ya kizamani.
bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
 
Explain why your education ranks lower in EAC?., na wengi mnasomea TZ coz ya uwezo hafifu, na masikini wenu wa kutupwa pia ni wengi EAC, na SADC! kelele tu but zero results!
ukimleta mkenya asome Tz atapata tabu sana system yetu ya kielimu ni ngumu siyo easy kama yenu....
ndiyo maana hata ukija kwa upande wa viongozi wa kiserikali kati ya tanzania na kenya tokea uhuru ..

asilimia kubwa viongozi wa tanzania wapo smart wamesoma zaidi kuliko viongozi wa kenya[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

bisha nikushut
 
bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
Nikupe sababu?; wengi wanakuja huku ama Uganda with their weak mental structure, kazi ni kukunywa na kutongoza wanawake (clubing daily na uzembe wa kiaina), they hardly attend lectures! Nilisoma na wengi kaka nawafahamu, mzazi anatuma karo na pesa ya matumizi na ma fala wanaharibu eti wanakula raha, in our class tuliwacha wengi sana chuo kikuu when we finished kwasababu hawa ku graduate, wana miss classes sana, na kwa darasa they cannot compete, pengine wenye walianza shule ya msingi ama upili Kenya ama Uganda. Nilihurumia wazazi wa hawa stupid Tanzanians. Mzazi anajinyima anapeleka mtoto shule, na ngΓ³mbe inakula karo, matokeo ni total failures!!
 
Hiyo "smartness" ya hao viongozi imeiweka wapi TZ? sijaskia watz wengi waki shinda academic award anywhere!!, achievements???, inovations??., and by the way uongozi sio tu masomo, ni hekima flani pia, even though education ni muhimu karne hii.
 
bila kusahau asilimia kubwa waliokuwa wanaenda kenya au uganda huwa ni failier.....hivyo hutafuta njia ya ziada yenye urahisi wa elimu
Urahisi gani wakati Kenya's education system was announced as the strongest in Africa by World Economic Forums? πŸ˜‚ πŸ˜‚



World Bank pia walitoa ripoti in 2018 ranking Kenya top in Africa in education outcomes
 
.....some succeeded through copying, ama wanalipa wanafunzi wawafanyie projects, na kuna wengi tu walikua sharp. Not all eggs from Tz were rotten.
 
Why google when We have pictures showing the real thing, why search for second hand information when we are the owners of the information?
Do we have a section coming close to the one I posted in any of our East Africa Cities?
Okay see the photos attached below and prove me wrong with a photo from Nairobi or Kigali.
 
Failier? [emoji848] 😳 [emoji848]
Is that a new English vocabulary? Wewe ni kama miongoni mwa wale hawakubahatika kusoma Kenya [emoji23]
yaaah ,,hiyo ni new english..........

hiyo ni poa sana kwako ,chukua hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…