Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo ni siku ya kucheka. Ninauhakika leo mtacheka sana.
Nimeshaanza kucheka, yn shule zao ndo wamegoma kabisa kupiga rangi yn wanawafanya wanafunzi km watu wasiostaili mazingira bora, yn bora liende a.k.a jua kali type, nyingine hiyo wallahi mmeingia cha kike kwenye hii battle ya shule na hatoki mtu[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…