Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa unaanza kutuletea picha za garage.
Hebu tuambie hapo ni wapi na ni kampuni gani hill?
Kampuni ndio hii
IMG_20210103_183920_504.JPG
 
penus star. lete top ten richest kenyan 2020 atleast in kenya we see some real kenya but tz top 50 allare hindus n arabs maze mko mbali kwa kenya
We fala hao umeweka hapa ni wanasiasa, sisi hatu deal na wanasiasa na ndiyo maana huwa hatuweki kwenye list ya wealthiest people, ndo mana hakuna mtu amekujibu mpuuzi ww
 
Sasa wewe unaniekea picha ya truck that has been imported wakati mimi nakuekea assembly plantView attachment 1666743View attachment 1666744
Kwamba hii picha wameandika assembly plant mbona hata wanaotengeza body wanaweka chasis kama hii na wanavisha body juu au 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 sisi nye nye nye tuna plant ya scania

umeona vile mambo hua kwa body builders🤣🤣🤣🤣👇👇👇
3C7BD716-FD89-4BC2-8AB6-5E49CE0F3DD2.jpeg
C7363E81-B31E-4C98-927F-ED6CEA94B15C.jpeg
 
Back
Top Bottom