hawa jamaa tunaijua hong kong,beijing,ila wana miji kibao mikali.Chongqing city China.
Wakenya mnajua hayo yanatokea duniani!? Kaeni chini sasa muaze kujitafakari muanze kuijenga Mombasa. Nairobi does not have any potential in future
View attachment 1666373View attachment 1666374View attachment 1666375View attachment 1666376
Giant[emoji38][emoji38][emoji38].Yeah, lazima tubaki nazo because we're the giant of East Africa[emoji23][emoji23]
Giant[emoji38][emoji38][emoji38].
giant mgani anakufa njaa[emoji23][emoji23].
Imeumaa eeh? Chomoa ukimbie....You reason like a dog[emoji23][emoji23]
Nini inauma hapo? Ingekuwa kitu unasema ni ukweli si headquarter yao ingekuwa Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]Imeumaa eeh? Chomoa ukimbie....
Debe tupu nyie...ur time is over!
si afadhali angekuwa mmoja[emoji38][emoji38]Nani amekufa njaa? Ebu tutajie mtu mmoja mwenye amekufa njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeshindwa kutaja?[emoji23][emoji23]si afadhali angekuwa mmoja[emoji38][emoji38]
Sasa ndio utulie maana HQ ya kunya ime prove failure kibiashara. Soko kubwa liko Tz na ndio mpango unahamia huku Tz. Ni mwishoni mwa 2020 hayo mabadiliko yametokea so kaeni kwa kutulia tu ndio mtaelewa kadri muda unavyokwenda.Nini inauma hapo? Ingekuwa kitu unasema ni ukweli si headquarter yao ingekuwa Tanzania[emoji23][emoji23][emoji23]
nimecheka kweli[emoji1787][emoji1787]Naona ya kupanga matofali kama kawaida yenu
Don't forget to tag me when Tanzania host any international corporation headquarter[emoji23][emoji23][emoji23]. Outside that you will only remain with vomiting nonsense[emoji23][emoji23]Sasa ndio utulie maana HQ ya kunya ime prove failure kibiashara. Soko kubwa liko Tz na ndio mpango unahamia huku Tz. Ni mwishoni mwa 2020 hayo mabadiliko yametokea so kaeni kwa kutulia tu ndio mtaelewa kadri muda unavyokwenda.
Hiyo ni tip tu. Msije anza kulia lia hapi baadae.
Asante kwa render 😀😀😀
Eti render 🤭😁😁
Vitu kama hivi wataviona wapi wakati Hali ni hii Nairobi👇👇Wuhu China.
Wakenya mnajua hayo!?
View attachment 1666380View attachment 1666381View attachment 1666382View attachment 1666383
So ATCL only have four international routes?[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo mmekuwa wachina?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona usipost zile gorofa zenu tatu?[emoji23][emoji23][emoji23]Hefei City China.
Wakenya bado wanahangaika na njaa
View attachment 1666407View attachment 1666408View attachment 1666409View attachment 1666410
Nataka kukupatia exposure kidogo ili uache upumbavu wako wa kibera.Leo mmekuwa wachina?[emoji23][emoji23][emoji23] Mbona usipost zile gorofa zenu tatu?[emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna mungiki atakayethubutu kuleta view kama hii ya nairobi,na akileta najitoa jfDar es SalaamView attachment 1666197