Ningeshangaa sana kama ungekosa kupost hiyo ndege yenu moja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787].Only 1% of our brain has been utilized till now, but[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1665707View attachment 1665708View attachment 1665709View attachment 1665710View attachment 1665711View attachment 1665712View attachment 1665713
Na ndiyo maana TPDF haijawahi kushindwa vita mana mpk uwe TPDF ujue ww kidume, ss nyie askari wenu KDF training miezi 3 na upon training hakuna askari hata mmoja anayejeruhiwa hata kidole, kwnn wasipige selfie [emoji1702][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Yani wanajeshi wenu ni maembe sana, ni aje mtu anakufa kwa training?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]. Sasa akifika battlefield si atapotea[emoji23][emoji23]
Hebu nitajie nchi moja duniani ambayo hutoa siri zake za jeshi hadharani ukipata tag meHata viwandani pia hawajui km nyie mnamiliki vyuma vyao..
Manake mlificha kw oder
Ss kwn ni ajabu midege yenu kuanguka? Km unabisha ngj uone huu mwezi km utaisha, save hii comment [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Hiyo akili yako ndogo ilikudanganya kuwa hapo ni Kenya?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
You are posting things can even be found in Uganda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]Only 1% of our brain has been utilized till now, but[emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]View attachment 1665707View attachment 1665708View attachment 1665709View attachment 1665710View attachment 1665711View attachment 1665712View attachment 1665713
Kumbe anaogopewa na hakaguliwi ??🤣🤣 so kumbe jeshi lenu hua linakaguliwa na mzungu ndio maana hapo sasa nimekuelewaAnaogopewa kw sababu ana uwezo wakuunda vifaa vinavyoendana na technology ya sasa tena vya hatari..
Kwhyo hawajui km atakua anaunda nn, tanzania mpka mpeleka oder viwandani hapo kuna siri gani na wakati global fire power wana zuru kote kote hko
Kwa vile wale wenye waliuliwa na wengine wakatoroka mbio kule Mtwara walikuwa akina nani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]Na ndiyo maana TPDF haijawahi kushindwa vita mana mpk uwe TPDF ujue ww kidume, ss nyie askari wenu KDF training miezi 3 na upon training hakuna askari hata mmoja anayejeruhiwa hata kidole, kwnn wasipige selfie [emoji1702][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Siku hz watu wanapiga msauzi tu hayo mabati wanajengea mabanda ya kuku [emoji215][emoji215][emoji3][emoji3]Tanga. Yaani ningekuwa serikali ningepiga ban hiyo aina ya mabati nchi nzima. Mabati yanayotoa kutu kirahisi yote ban! How is TBS okay with Such iron sheets? [emoji848]
etiiii....Acha ushamba wewe, hayo ni mambo ya kawaida sana hku..tangu moi NYS wanafanya
Mkuu viongozi wa mataifa mababe ikiwemo tanzania huwa hawasafirisafiri ovyo. Angalia viongozi wa mataifa yanayojitambua kama huwa wanaenda hata hiyo mikutano ya umoja wa mataifa wanatuma wawakilishi tu.Nini maana ya ushawishi wa JPM na Tanzania?
Fikiria ni juzi tu Rais Xi kampigia JPM simu, JPM alikua hana hili wala lile kuhusu China hasa ukizingatia alivyoterminate Bagamoyo port, SGR project, mchuchuma projects na nyingine harshly
Lakini still Rais Xi alimpigia simu JPM na JPM akaingiza vocals zake kuhusu projects zake anazotaka tushirikiane na China lakini sio kwa masharti kama ya Bagamoyo, SGR, etc
Mara paap Rais Xi kamuelewa JPM and within no time Rais Xi faster anamtuma highest envoy kutekeleza mazungumzo yao
JPM hajapiga simu yeye, hajawahi hata kukanyaga China lakini kuna kanchi fulani kalipeleka serikali nzima na bunge lote China kumuomboleza wamaliziwe mkopo wa SGR na wakafukuzwa kama mbwa bila thumni 😂😂😂😂
Ila JPM katulia zake tu Chamwino lakini China inamfuata yenyewe, huu ndio ushawishi wa JPM na Tanzania
wasee ya mikate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa vile wale wenye waliuliwa na wengine wakatoroka mbio kule Mtwara walikuwa akina nani?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]
Juzi jamaa kapeleka pua yake ufaransa kuomba mkopo wa kujenga km 5 za reli 🤣🤣🤣 na bado alivo kilaza kakopa commercial loanMkuu viongozi wa mataifa mababe ikiwemo tanzania huwa hawasafirisafiri ovyo. Angalia viongozi wa mataifa yanayojitambua kama huwa wanaenda hata hiyo mikutano ya umoja wa mataifa wanatuma wawakilishi tu.
Kiusalama ni risk, sasa wale ombaomba wanavyopiga trip, Leo China, kesho Germany, UK, USA nk
Yah lazima kila mwaka wafe kwenye training, yn hapa umejitia kidole mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Do you know why Global military power ranked Tanzania last in East Africa? It's because of things like these[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]View attachment 1665705
Wewe umejua ni nini iliwaua kwanza?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23].Yah lazima kila mwaka wafe kwenye training, yn hapa umejitia kidole mwenyewe [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Kwmb mna brt, modern bus terminal, 3 level interchange, cable stayed bridge au co? Haya mmezificha wapi ss mbn hatuzioni? Yani ukitaka kujua Watz wanaakili zaidi ukanda huu angalia tumetumia only 1% of our brain for less than 15 years kufanya mambo ambayo hayapatikani East and central Africa [emoji3][emoji3]Tuko nazo zote.
@Tony254wasee ya mikate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1665721
Kwao ni kawaida [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Ni kosa kupanda bus la umma au train na mfugo au mnyama wa aina yoyote ile kwa mujibu wa sheria za sumatra,ukinunua kuku au bata utajua mwenyewe namna ya kurudi kwako iwe kwa bodaboda au bajaj au upige reggae one two one two
Asante kwa kujibu. Naona huwa mnapenda kujifanya kwamba mko civilised kushinda nchi zingine. Haya basi, swali la pili na la mwisho ni hili, ikiwa umenunua gunia nzima la viazi utakubaliwa kupanda basi la BRT kuelekea nyumbani?Ni kosa kupanda bus la umma au train na mfugo au mnyama wa aina yoyote ile kwa mujibu wa sheria za sumatra,ukinunua kuku au bata utajua mwenyewe namna ya kurudi kwako iwe kwa bodaboda au bajaj au upige reggae one two one two
Proof. Mambo hayo mtayasikia tu.NYS wanafanya kuanzia kitambo hvyo vitu, sometime fanya research kwanza