COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Umronyesha vile wewe mjingaHeri kukosa pesa kuliko fedheha ya kinyama. Ulishawahi kuona mzungu anakimbia kimbia ovyo!? Ni wanyama pekee wanakimbia. Hata mnyama akivalishwa gauni atabaki kuwa mnyama tu.
Umronyesha vile wewe mjinga
Nyinyi maharage na ugali ndio yenu.....heartburn papSijaelewa unamanisha kuwafikia kwa lipi! Unamanisha kuwafikia kwa roho mbaya yakutopendana,kwa njaa au unamanisha kutowafikia kwa maisha duni ya raia ,kua na gap kubwa kwa walionacho na wasio kua nacho!Au unamanisha kutowafikia kwenye poor security! Au wamanisha kutowafikia kwenye chakula kufanya ratiba ya ugali sukuma wiki ikawa permanent kwenye most of your family ,ebu tueleze vizur unamanisha kutowafikia kwa lipi !
Eldoret ilifunika hiyo mwanza yenu plus jiwe zoteEldoret ni nini kwanza?????
Hebu nieleZee nimdudu gani huyo
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Mwanza is so overrated. ....its not known beyond danganyikaMaoni ya mtu hata mm naweza kuja nairobi nikasema mji umejaa slum haufai
😀😀😀😀😀
Mbona mnaongelea michezo ya wanyama tu?In Athletics we boss the World
In Rugby we are 2nd best in Africa
in volleyball we are Africas best -ladies
the men are also up there
In hockey. .Telecom Orange are Africas finest....
Men are 2nd best
In football Gor Mahia is the most successful East African Club with a Continental trophy 1987....
In cricket we are The second best in Africa...
Tanzania can only win in ushirikina competition
Hahaha. ...yaani mimi na Olympic team mzima ya tz tuko same.0 medals. ....watu walienda rio kula bajia na tapiocaTanzanian Olympic medals
1.0 gold
2.0. Silver
3.0 bronze
4.1 iron
5.30 stones
6.400 soil
7.40 million wood
lusematic kiboko ya collomzii....hivi unatoa wapi vijembe kama hivi kaka?
Hahahahah...dah...we mtu mbaya sana ujue.nimekuvulia kofia kwa maneno ya shombo dhidi ya wakenya.
2001-2010 sai tuko?Mbona mnaongelea michezo ya wanyama tu?
Michezo ya kukimbia kimbia ovyo watu wastaraabu walishaachananayo.
Halafu uwe unafanya reseach kidogo ndio uje humu ndani tutakuaibisha wewe.
Soma hapa:-
Simba SC of Tanzania is rated East Africa’s (EA) best club in the past ten years. The high achieving club tops all other clubs from Kenya and Uganda.
In producing the rankings that spans the year 2001 through to 2010, the International Federation of Football History & Statistics (IFFHS) considered all national competitions held in all respective African countries over the entire first decade after the turn of the millennium.
Simba SC rated best club in East Africa - Futaa.com
Tembea uone wewe.
U fuckdem tu
Hao wenu ni waarabu wasio watanzania. ....Dewji and The likes. .......ishi kwa nyumba mbovu ya kiswahili ndani ya dar is slum polepoleasa wewe ni millionaire.......?...acha shadadia upuuzi........hao millionaire wenu wengi ni foreigner hampo real ila asili yenu ni askini ukapuku
Hahaha
Still dreaming of overtaking Kenya
Hii ndio inaitwa kutumia akili kama kofia......public transport ya kupanda kwa dirishaUko ahead ya kitu gani wewe mshamba!!?
1. ICT tunawapiga ile mbaya
2. Telecom tunawapiga ile mbaya.
3. Starehe tunawapiga ile mbaya
4. Music Industry tunawapiga sana
5. Movie Industry tunawanyoa kwa chupa
6. Utalii tunawagonga
7. Security issues tunawapeleka jando
8. Food Security and Availability hamutuwezi
9. Kwa kukimbia ovyo ovyo mnatuzidi. Mnakimbia zaidi ya punda
10. Public Transport tunawazidi ile mbaya.
Sasa wewe unabakiwa na nini? Zaidi ya kutoa povu kama huna akili nzuri.
We are The chosen Africans.....1.Tanzania has double land size to kenya
2.Tanzania has more pop than Kenya
3.Tanzania has more minerals than Kenya
4.Arable land in Tz is 100% to kenyas30% So why this
1.Kenya exports more Tea,horticulture, coffee etc than tz
2.Kenya's GDP 75b to Tz 50b
3.Kenya middle class income Tz/4.Kenya is generally ahead of tz on almost everything
Kwani mlirogwa nini? If Kenyans were blessed like u guys tungekua league ya Singapore sai
Networth Yangu> yakoMillionare wa wapi??????
Sikutegemea kijana wewe ungetuonesha nyumba ya babu ilioko kijijini nilitegemea unioneshe house of ur dream
😀😀😀😀😀😀😀😀
Dar ni nini?? 1200 millionaires to Nairobi 6200...GDP 9 b us $ against 40 b its too shameful... 100 international corporates in Nai to zero in Dar is a big shame...pole sana but Dar kufikia Nai bado msee
Wacha mbwembwe wewe. Soma maelezo hapa wacha sifa za kijinga2001-2010 sai tuko?