Kiwanda cha nguo za kijeshi SumaJKT Mgulani - JWTZ
Hebu wakenya tuonesheni nguo zenu za kijeshi mnatoa wapi!?View attachment 1665463View attachment 1665464View attachment 1665465View attachment 1665466View attachment 1665467View attachment 1665468View attachment 1665469
Do you think importation only involves Tanzanian port?[emoji23][emoji1787][emoji23]. Kuna manufacturer, kuna transporters, kuna port ya exporting country. So mkidhani mtaficha siri, I'm sorry to let you know that the other players will reveal it[emoji1787][emoji23][emoji1787]
Kwanini usitaje jina la hicho kiwanda dogo. Kelele nyingi tu.Hizi ni vitu zinatengenezwa na vijana wa NYS bana[emoji23][emoji1787][emoji23]
Military estates za kenya zilijengwa 60s and 70s... nyie ndo mwajenga sahii????? kweli maskini akipata matako hulia mbwataBado sijaona military estates zenu 😂😂
🇹🇿🇹🇿⚔️
These things are countrywide
View attachment 1665478View attachment 1665480
Sasa hivi atajificha chooni akidai tumbo linamsumbua hahahaha.
Zile kibera slums hahahahahahaMilitary estates za kenya zilijengwa 60s and 70s... nyie ndo mwajenga sahii????? kweli maskini akipata matako hulia mbwata
ndo ujenzi wa kifalafala wenyewe ninaosema!Ramps zipo, mwisho mwisho
Acha ujinga[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]. For manufacturers to promote their products to other potential buyers, they must show the product they had already made and when it comes to military, they will even mention the country that the product from them.unadhani silaha za nchi zinanunuliwa kama boxer pantie[emoji16][emoji16][emoji16].
hakuna manufacturer kinumbo namna hiyo wa kurevieal silaha za mtu mwingine.ndio sababu huwa kuna parade ya silaha ya nchi husika.
sawa kinumbo[emoji38][emoji38]
Hizi levels hamtokaa mfikieMilitary estates za kenya zilijengwa 60s and 70s... nyie ndo mwajenga sahii????? kweli maskini akipata matako hulia mbwata
Go to google map and you will see kibera ni a very very small part of nairobi, like 1 percent... the rest of nairobi ni kama ngambo.. Na ukiwa hapo hapo angalia dareesalam kwa map uone dar yoye 90percent ni kama kibera.Zile kibera slums hahahahahaha
ndio sababu nikakuita wewe kinumbo,leo russia ikisema inazalisha ICBM,ikasema pia inauzia tz,unadhani itakwambia imeuza ngapi na mwaka wa mauzo!!!!!tena kama hujui ni marufuku mpaka mnunuzi aonyeshe mwenyewe,ndipo muuzaji aweke bayana rasmi.Acha ujinga[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23]. For manufacturers to promote their products to other potential buyers, they must show the product they had already made and when it comes to military, they will even mention the country that the product from them.
Umeacha kuongelea KDF. Umeshindwa unahamisha mada. KwakwakwakwaHlafu wa tz mbona mwashindana na kenya kujenga sky scrapers????Hamjui kwamba skyscarppers hujengwa kutokana na demand ya space na wala sio kwa ushindani??
Ndio maana asilimia kubwa ya za kwenu hazina wateja..Oya Hapana shindana na ndov kunya..
JWTZ lina uwezo wa kuzilisha Kenya 10 mahitaji yao yote ya mchele, wacheki video waone JWTZ ilivyo na modern farming machinery kama Ulaya 😅😅Sasa hivi atajificha chooni akidai tumbo linamsumbua hahahaha.
Mimi huwa napenda uniwekee picha za estate zenyu za KDFGo to google map and you will see kibera ni a very very small part of nairobi, like 1 percent... the rest of nairobi ni kama ngambo.. Na ukiwa hapo hapo angalia dareesalam kwa map uone dar yoye 90percent ni kama kibera.
Isipokuwa jeshi la Kenya, utajua kila kitu kuwahusu kwasababu ya sifa za kijinga.Siri za jeshi ni siri nyeti sana za nchi yani ndio nchi yenyewe huwezi pata ukweli wowote unaohusiana na jeshi lolote duniani mark my words [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikweli it was a cover up[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]ukiangalia vizuri hizo stairs unaweza kuona Mchina alisahau kuweka facilities za wenye wheelchair!