joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ninyi ndio mnawashwa, Geza ameweka taarifa ya Uganda kutengeneza reli ya zamani hadi Kenya, kutokana na wivu ukasema "hiyo inaonyesha jinsi Kisumu port ilivyo muhimu kuzidi Mwanza port", sasa Mwanza imefikaje?Mbona unawashwa na Kisumu port?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ndugu yangu hawa watu ni wakusikitikia tu. Hii ndio kasarani tunayopigiwa keleleWeka hapa tuone [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ninyi ndio mnawashwa, Geza ameweka taarifa ya Uganda kutengeneza reli ya zamani hadi Kenya, kutokana na wivu ukasema "hiyo inaonyesha jinsi Kisumu port ilivyo muhimu kuzidi Mwanza port", sasa Mwanza imefikaje?
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hizi alama ni za baba yako!?So hizo picha mnapost hapa with unmarked roads sio za Tanzania?[emoji23][emoji23][emoji23] Ebu nionyeshe marked roads hapa[emoji116][emoji116][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 1664648
Asante kwa kurudia picha ya barabara moja mara hamsini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Parklands, ujenzi tumebobea.Ndugu yangu hawa watu ni wakusikitikia tu. Hii ndio kasarani tunayopigiwa kelele
View attachment 1664649View attachment 1664650View attachment 1664651
Hasidi hakosi sababuAsante kwa kurudia picha ya barabara moja mara hamsini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
Did they mention Mwanza anywhere?, the fact is "No one is ready to fund Naivasha-Malaba section of White Elephant and [emoji23][emoji23][emoji23]Why do you hate facts?[emoji23][emoji23][emoji23]. I just stated what was in the article that mentioned importance of Kisumu port to Uganda.
Sasa hata nikirudia ni zenu!!! Pwahahaha hizo ni zetu Mzee. Unatakiwa umeze jiwe tu mzeeAsante kwa kurudia picha ya barabara moja mara hamsini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji122][emoji122][emoji122]
My statement still stand that 99% of Tanzanian roads are unmarked. Now you can repeat same pictures hundred times[emoji23][emoji23][emoji23].Sasa hata nikurudia ni zenu!!! Pwahahaha hizo ni zetu Mzee. Unatakiwa umeze jiwe tu mzee
Will that make Uganda to build their SGR towards Tanzanian border?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Did they mention Mwanza anywhere?, the fact is "No one is ready to fund Naivasha-Malaba section of White Elephant and [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Hasidi hakosi sababu
The issue is not Tanzania, how can Uganda with very small economy be able to get fund to build it's SGR, while the so called bigger Economy can't do the same?, failed state.Will that make Uganda to build their SGR towards Tanzanian border?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata asingerudia hukosi neno la kusema weweWewe huoni venye huyo jamaa amerudia mapicha hili zionekane mingi?[emoji23][emoji23]
Wajinga hawa ...mwingine kadirik kusem eti kisa firework basi wao wako mbali sna..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Mambo ya firework kila sehemu yapo. Na kila wakati Tanzania yanafanyika. Kwasababu wakenya ni washamba na hawana exposure wanaona big deal.
Tumejaribu kuwa ignore ili wajishitukie but bado tu. Hebu niwapatie some videos muone wakenya walivyo washamba.
This is Dar
The issue is not Tanzania, how can Uganda with very small economy be able to get fund to build it's SGR, while the so called bigger Economy can't do the same?, failed state.
Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
Mm niliskia mwezi wa tatuHii barabara inatakiwa waikabidhi rasmi mwezi huu mwishoni...nani amepita uko majuziView attachment 1664638
Sasa unataka ninyamaze mkidanganya ?[emoji23][emoji23]Hata asingerudia hukosi neno la kusema wewe
Wewe hujawahi kurudia picha alafu kwako kila kitu ni agenda?embu badilika bana weweSasa unataka ninyamaze mkidanganya ?[emoji23][emoji23]
Nchi ya Maziwa na asali[emoji23][emoji23].Wewe hujawahi kurudia picha alafu kwako kila kitu ni agenda?embu badilika bana wewe