Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shidako ni ujinga. Unalete picha enye hata wewe mwenyewe hujasoma. Hapo chini imeandikwa " Commuters scramble for a space on a train in the past".
View attachment 1663700

[emoji23][emoji23][emoji23] ase.. mnavyoleta za zaman za daladala na za ajali ya brt sio ujinga.. siioooo??

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] ase!

You are quoting your own comment?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji116]
If those are devastating then give us the name of this[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]View attachment 1663734

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani involvement ya standard chartered bank mliwahikubali hapa? Si kuna hadi baadhi yenu mlihapa kwamba huo mradi sio wa mkopo!
Leta ushahidi huo mkopo ukisainiwa hapa sio tantalila

Leta ushahidi wa pictures kama wa kimaandishi umeukosa!
 
Wapi live coverage hapo? Ukinionyesha live coverage ya hizo old trains nahama JF.
Ndugu yangu. Jamaa anajikaza kisabuni kutoa povu huku anaisha hahahaha!!! Anasema ni old wakati ni live coverage last month.

Hahahahaha
 
Naam zilienda mbinguni. Lakini kazi ni yako, nenda kazitafute uletee Watanzania wenzako mjinafas.

Hali ilivyo kwa sasa park road and Ngara

Sio ngara imekua ngere??🀣🀣🀣 na zile slum zilienda mbinguni ama
 
Ile kamati ya roho chafu mpo? πŸ˜‚ πŸ˜‚
88 Nairobi is off the ground and there's no turning back. Bado mnaamini haitajengwa as you always do to all Kenyan projects? Ujenzi inaendelea hata msimu huu wa Krisimasi

They are currently laying the foundation and the crane is already up! Africa's second tallest residential tower is rising at the heart of Upper Hill
 
Actually we are way ahead of that failed system[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116]View attachment 1663759View attachment 1663760
Leo wanafananisha na hiii uhehehhehehe utasubiri miaka 200πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…