Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hoteli na malls wachieni private sector wajenge. If you want to be a real capitalist economy sector zingine wachieni private sector jameni.
who told you we want to be capitalists? That city council is putting up projects to enable it be self sufficient economically! Unless u can prove to me in NY city , the metropolitan government has not such projects then u r stupid! Man u don't know what's going on in those fronts! Keep claiming Kenya being capitalists while wallowing in poverty!

Fool check here !

Wacha kuhara vitu hujui ati capitalism! Soma
hapa pia
 
Hoteli na malls wachieni private sector wajenge. If you want to be a real capitalist economy sector zingine wachieni private sector jameni.
Who wants to be Capitalist Economy?, we don't needs slums dwellers and land grabbers and homeless people, that is your problem. Your 80% of Economy is either controlled by foreigners or politicians, who wants that stupidity?
 
Kwa hivyo nikija na gunia yangu ya viazi na kuku wawili nitaruhusiwa kupanda basi la Abood au la?
 
Sawa basi nionyeshe mall yoyote Kenya ambayo inamilikiwa na serikali. Hamna
Ila in the US zipo! wacha ku-distort capitalism fala wewe! Sema in Kenya serikali hairuhusiwi na usijaribu kumaanisha ni capitalism! Sema crooked politicians wenyu wanazuia kulinda interests zao kwenye their existing establishments! Una wivu wa kijinga mzee endeleeni kuwa duped na wanasiasa wenye ati hiyo ni capitalism!

 
Kwa hivyo nikija na gunia yangu ya viazi na kuku wawili nitaruhusiwa kupanda basi la Abood au la?
Gunia utaruhusiwa ila mifugo sidhani, huwa inasumbua kdg kuhusu mifugo, labda wenzangu wanajua hilo but kwa experience yangu huwa sioni tukisafiri na mifugo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…