Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

And Why then do you have trade deficit against Kenya
Again shifting the goal post as usual. For the last consecutive three years before 2019, Tanzania had been recording positive balance of trade with Kenya of wider margin, only last year because most of our food went to Mozambique, Zimbabwe, DRC and Burundi, that's why Kenya recorded positive balance of trade with Tanzania with very narrow margin[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakenya huyu jamaa mulimchunisha skuma nini, mbona anamachungu hivi. Huyu jamaa atakufa bure.
Maisha yake mazuri kisa anajilinganisha na slums[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Achana nae, zaidi ya hapo hana pa kuipambanisha nchi yaks..
Akimaliza mwambie atume za turkana pia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Turkana + kibera less than 1m people
 
Emu tusaidie na data za 2015-2019
 
your wrong buda hiviii howcome sisi tuna ngombe kuwazidi kwa mbalii tuu au hawa ngombe wetu hawatoi maziwa?
Kwn kuwa na ngombe ndio kuwa kinara wa kuzalisha maziwa..
Nyie mnajua kuhusu hyo sekta
 
Umesahau Muungano wa EAC wa mala ya kwanza kwamba ulivunjika na mkabaki na malizi zetu tushukuruni na ndege msingekua nayo hata moja.
 
Kudadeki mabati, juice na dawa ya mswaki, 😱😱😱😱[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]huyu ni wakupuuzwa sasa. Unaleta utoto kazini.
Kenya tunaijua vizuri kuliko wewe wa Kibera, nenda Super Markets za hapo Nairobi kama hutokuta "White dent tooth paste", wewe nina uhakika hata uwezo wa kutumia tooth paste huna[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Lete data acha kujifurahisha
 
Kenya tunaijua vizuri kuliko wewe wa Kibera, nenda Super Markets za hapo Nairobi kama hutokuta "White dent tooth paste", wewe nina uhakika hata uwezo wa kutumia tooth paste huna[emoji23][emoji23][emoji23]
Kudeki weka picha za pale unaishi, leo nakuchunisha mboga wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…