Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzania mna kipi cha kubaniwa, makampuni yenu dhaifu sana.
Bidhaa gani muhimu Kenya inauzia Tanzania?, sisi tunawauzia bidhaa muhimu sana, kama Transforma za umeme, chupa za kioo, na bidhaa zingine zitokanazo na kioo, karatasi, mbao, coal, ngozi, nyama, pamba, mafuta ya Alizeti, dawa za meno za White dent, Konyagi, bidhaa za Azam, na zingine nyingi, ninyi zaidi ya Benki zenu, Sigara na Big G, nini tena mnauzia Tanzania?, Maziwa?[emoji23][emoji23]
 
Tulikua busy kukomboa nchi za Africa na kujenga umoja wa Taifa letu, kufuta ukabila, rushwa na Nepitism, sasa tumemaliza hayo yote sasa hivi tunajenga uchumi wetu na tumewafikia na tunawapita.

Ninyi vipi kuhusu kujenga umoja wa Taifa lenu na kufuta ukabila na rushwa, lini mtaanza hiyo kazi, au ndio basi tena imeshindikana?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
inauma ila itabidi mzoee tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
KDF tu wenyewe ni mdebwedo,sembuse hao polisi...
 
You can't touch our goods even verbally, you are afraid of Tanzania to the highest level currently [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
And you are right we can't touch because none exist in the Kenyan market you export nothing to other than maize and beans at least uganda tried with latto milk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…