Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii Kenya yetu ina vituko sana. Kuna ripoti kuwa msichana wa miaka 19 amewapiga na kuwajeruhi polisi wawili wa kiume huko Siaya. Hao polisi wamepelekwa hospitalini. Watanzania chungeni sana maana naona mumeanza kuja Kenya kutafuta wachumba. Hata wasanii wenu wanakuja huku sana kutafuta jiko. Mjifunze karate kwanza ndio mje huku

nyie haujui mapenzi hamko romantic kama wasemavyo madem zenu zenu

uku mwanamke akizingua anapigwa na limwekundu 1 akizingua tena anakula la pili [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Limwekundu ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…