Haha ours, old as they are, (1980's) they are being used yo the maximum, producing:Usifananishe uchafu wa Nairobi na hi kitu ya DSM apa , kuna vitu vya kujipa Moyo kama kuishi kwenye dormitory na kujifariji kuziita apartment lakini kwenye viwanja usijifariji kabisa East and central afrika hakuna kama iki hii ni international standard apa tuna host mpaka team za EPLView attachment 531297
dar bata batani.Nairobi ndio raha tosha.
Just 10 yrs😀😀😀 mambo motoona ni mchezo gani nyinyi hufaulu jameni. ....na hiyo national stadium yenu?kwani mlirogwa ama vipaji ndio hamna
The last time I was here Nairobi(2016) was leading whilst Dar trailing and I CAN confidently say nothing much has changed for Dar over a period exceeding 1 year.
Wanataka nikanunue nyanya Supermarket wakati hapa nje kwa mangi napata kitu imetoka Shamba jana. Ufala gani huuSasa huo ni mchezo wenu ???...si mmerithishwa na wazungu ..hyo ni influence ya wazungu kukaa (settler economy) kenya ..which ..haikuwepo Tz ..ndo maana unaona hatuna michezo kama rugby au horse racing ..sasa race course ya nini ..hii settler economy imewafanya hadi muanze western style ya kushop kwenye malls ...while sisi we do it in our own style ..ndo maana most people prefer shopping at Kariakoo ...and mimi naona its so fine ..to have and maintain your african culture .rather than ku adapt za wazungu
Hivi Kenya Kuna football clubs?Tanzania wako na football stadium sawa lakini sikumbuki kama wamewahi enda African cup of nations........hahaha. hoihoi wa kutupwa....
Yanga na simba hata top 4 kenya haziingii
Kwani Kenya ukiondoa kukimbiakimbia kuna mchezo gani?na ni mchezo gani nyinyi hufaulu jameni. ....na hiyo national stadium yenu?kwani mlirogwa ama vipaji ndio hamna
Kadoda 11 hizo vyombo nusu zinifanye mbaya Jana, nlikuwa na mtoto mkare kiwanja fulani akawa ananinywesha aisee hadi nikavuka threshold.bata batani:
my last night at club elements-dar es salaam.
photos can explain the awesome partying atmosphere....fireeeeeee!!!.
NB:
wakenya karibu ni dar es salaam,jiji la maraha mje "mjibambe".
pole sana comrade....jana mimi na wadau wangu wa town nilikuwa nao pale elements kuanzia mishale ya saa saba usiku mpaka kumi alfajiri.nashukuru sikuzima ila ilikuwa bakubwa sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kadoda 11 hizo vyombo nusu zinifanye mbaya Jana, nlikuwa na mtoto mkare kiwanja fulani akawa ananinywesha aisee hadi nikavuka threshold.
Duh haya maisha sijui kwanini ni Mafupi sana[emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kadoda uwe unaniambia tunakutana hapopole sana comrade....jana mimi na wadau wangu wa town nilikuwa nao pale elements kuanzia mishale ya saa saba usiku mpaka kumi alfajiri.nashukuru sikuzima ila ilikuwa bakubwa sana.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hatukakatai,nairobi kuna raha sana but raha za dar es salaam hazina mpinzani EA.kuanzia warembo,vyakula na mziki mzuri.Nairobi ndio raha tosha.