Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Mimi naongelea saa hii kuanzia JNIA, AAKIA, KIA, Bukoba, Songwe na Mwanza Airport with its cargo terminal! Mind u several airports r going expansion!Hata miundombinu ya viwanja vya ndege pia! Soon SGR while ports n water vessels a further modernization is ongoing!
taratibu...Dodoma inainuka [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1659871
kabisa chief kaokoa jahaziIla hapa mchina amewaokoa sana lasivo mlikua munadondokea pua [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
City market au gani?Kuna lile soko sijui la wapi vile nairobi vile emu nisaidie mkuu, yani copy kabisa
Ndani hata ikiwa roboticThat's the most sophisticated building in EA! U have no idea how is that building automated!
ikulu bado inajengwa hiyo ilijengwa kama temporary yakuhakikisha presidaa anapokuwa ndani ya capital city awe na ofisi.....Bweni lile bwana, yani ikulu ijengwaje kizembe vile tena ya capital city
Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano nzuri kushinda hili dude. Lakini kama ni temporary basi hakuna shida. Rais akishahama basi mtumie hili dude kufugia kukuikulu bado inajengwa hiyo ilijengwa kama temporary yakuhakikisha presidaa anapokuwa ndani ya capital city awe na ofisi.....
super ipo kwenye ujenzi na itakuwa kubwa balaa kazi ipp kwenye mikono salama chini ya jeshi
Hta km hyo itakua ndio ofisi yake bado sana kihadhi namuinekano sijui mambo mengineikulu bado inajengwa hiyo ilijengwa kama temporary yakuhakikisha presidaa anapokuwa ndani ya capital city awe na ofisi.....
super ipo kwenye ujenzi na itakuwa kubwa balaa kazi ipp kwenye mikono salama chini ya jeshi
Bwahahahaa!!mbona umewapiga hku unasingizia busara[emoji1787][emoji1787]Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano nzuri kushinda hili dude. Lakini kama ni temporary basi hakuna shida. Rais akishahama basi mtumie hili dude kufugia kuku
ujenzi wa ikulu haujaishia hapo chief,ikulu bado inajengwa......Hata ikulu yenu ya Dar ina muonekano mzuri kushinda hili dude
Hii comment yako nakwambia ishaleta balaa, ngoja wanenguaji waje kw mbwembwe kujitoa ufahamuTumewashinda kwenye sekta karibu zote. Kwa hivyo nawaonea huruma naamua kuwapa sekta moja au mbili maana najua tunawapiga kwenye sekta zingine zote.
usilichukulie poa....hilo jengo...kiusalama halipo kama jinsi ulionavyoHta km hyo itakua ndio ofisi yake bado sana kihadhi namuinekano sijui mambo mengine
Saa hii bado ni debatable. Mkimaliza ujenzi basi hakutakuwa na debate. Mtakuwa na airports modern kutushinda ila airports zetu bado zitakuwa na pax ya juu kushinda zenu. Hamuwezi kutushinda katika idadi ya abiria wa ndege wanaotumia airport zetu.Mimi naongelea saa hii kuanzia JNIA, AAKIA, KIA, Bukoba, Songwe na Mwanza Airport with its cargo terminal! Mind u several airports r going expansion!
Wachina wako vizuri ndio manake wazee wa wameona sgr wampe mchina aongeze kasi manake mturuki anawanengulia tu kila kuchaoWachina wanakimbiza mradi huu kama baiskeli ya kuibiwa
View attachment 1659885
Pillars kadhaa tayari zimekamilika. Ujenzi wenyewe hata haujamaliza miezi minne
Unafikirua ikulu ni km guest unajeuza jeuza kizembe, mle wazee wa kazi ndio wanajua nyanja zote na jinsi ya kuiendeshaWacha wivu wa ******* ikulu yenu ya mkoloni iwapi? Miaka 57 ya Uhuru bado mnatumia jengo la mkoloni!
we yaani unawaza viuno tu leo...Wachina wako vizuri ndio manake wazee wa wameona sgr wampe mchina aongeze kasi manake mturuki anawanengulia tu kila kuchao
Sio hamnazo sasa unakataa kwamba ujenzi haukuanza 2016 au nikupe ushahidi sahii🤣🤣🤣🤣Kwa hivyo unajitia hamnazo? Nimekuwekea picha za ujenzi wa foundation halafu unasema kuwa hakuna progress?