Ilo bata lake nakwambia Acha tu...Ndani humo kuna club disco mziki mnene, nyama choma kama zote yaani ni parte after parte mnafika Moshi na Arusha asubuhi saa 1
Hahahaha ila Sidhani kama kuna nchi inayopenda starehe Africa kama Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28] labda SA
Watanzania noma linapokuja suala la bata [emoji23][emoji16][emoji16]
View attachment 1657883View attachment 1657884
tatizo huwa mnajitamba wakati asilimia kubwa ya maisha ya wananchi baina ya hizi nchi mbili zinalingana...Kwn chokoraa huishi maisha gani, nyie mnacheka watu ambao waliachwa na wazazi wao katika mazingira magumu na wala hawana pa kwenda kubakia mayatima..
Au ndio hyo ni hekima yenu aliyowaachia nyerere, duniani homeless people watele
Tz bhn yn imekuwa tishio sn Africa kwa ss, mana mambo inayofanya ni full MIC.Kenyans, this is inside our MGR [emoji3590][emoji1241][emoji3590]
Sasa sijui bullet trains zitakuaje
Yale mapipa yenu hayanusi hapa
The full booked trains up to 3rd of January next year
View attachment 1657864View attachment 1657865
wakala si kitu hata mimi naweza kuandaa kipindi maalum nikatengenezea tittle mtaani,,Mbona mimi nimekuletea video na kila kitu kimeongelewa mule ndani, uzembe ndio unakusumbua..
Hta kwanza kubishana na wewe ni upuuzi tu, yani umepewa nakala inayoongelea kila kitu lkn bado unangangania upuuzi
KWENDAAA!!
Wacha kabisa mkuu, tunajishusha kuweka battle na failed state km Kenya, hii co ligi yao kabisa, washidane na failed wenzao kina Somalia, DRC, n.k.[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]Ndani humo kuna club disco mziki mnene, nyama choma kama zote yaani ni parte after parte mnafika Moshi na Arusha asubuhi saa 1
Hahahaha ila Sidhani kama kuna nchi inayopenda starehe Africa kama Tanzania [emoji28][emoji28][emoji28] labda SA
Watanzania noma linapokuja suala la bata [emoji23][emoji16][emoji16]
View attachment 1657883View attachment 1657884
Hii nchi me mwenyewe namshangaa waliicheleweshaje kuingia upper middle income, yaani ukitembea hizo nchi zinazojitia uzwazwa utashangaa zilivyochakaa na Tanzania ilivyo na maisha mazuri, sema tu watanzania ni wa kimya huwa hatujitangazi na hatujioneshi kama tuna kitu.Tz bhn yn imekuwa tishio sn Africa kwa ss, mana mambo inayofanya ni full MIC.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Hakuna mkenya wa kutumia pesa kugharamia bata wanaokula hao walio board hiyo train, hiyo bottle 1 Kenya ni mara 4 ya bei ya Tanzania, unaweza kuona namna walivyo na maisha magumu 😅😅😅Wacha kabisa mkuu, tunajishusha kuweka battle na failed state km Kenya, hii co ligi yao kabisa, washidane na failed wenzao kina Somalia, DRC, n.k.[emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Sent using Jamii Forums mobile app
daah,,aisee koo limeshtuka ghafla,,ngoja nikakandamize tatu za chap aisee....Kenyans, this is inside our MGR [emoji3590][emoji1241][emoji3590]
Sasa sijui bullet trains zitakuaje
Yale mapipa yenu hayanusi hapa
The full booked trains up to 3rd of January next year
View attachment 1657864View attachment 1657865
Wakati ukifikiri hivyo, mkenya anawaza wapi akapate kopo la chang'aa 😅😅daah,,aisee koo limeshtuka ghafla,,ngoja nikakandamize tatu za chap aisee....
Nilikutana na wine zinauzwa Tsh 3,000 Dodoma halafu zipo kwenye chupa nzuri zenye hadhi [emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha Hakuna mkenya wa kutumia pesa kugharamia bata wanaokula hao walio board hiyo train, hiyo bottle 1 Kenya ni mara 4 ya bei ya Tanzania, unaweza kuona namna walivyo na maisha magumu [emoji28][emoji28][emoji28]
Unaenda kwenye wine mbali sana Kwanza majority ya wakenya hawajawahi kunywa wineNilikutana na wine zinauzwa Tsh 3,000 Dodoma halafu zipo kwenye chupa nzuri zenye hadhi [emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzako walikua wanasema hakuna wakenya ughaibuni wanaomiliki makampuni sasa ameanza kusaga meno..Hao wakenya huko USA wanamiliki kampuni la usafirishaji mizigo, lenye idadi ya hayo malori, sio kampuni la kutengeneza magari, huyo ni zuzu achana naye.
Kwaheri mzembewakala si kitu hata mimi naweza kuandaa kipindi maalum nikatengenezea tittle mtaani,,
we nipe jina la kampuni kisha brand wanayozalisha mbona simple tu,,,,,usiniletee pang'ang'a utakuwa huolewi
Hyo ndio shida ya kuparamia vity tu bila ya kufanya research, hzo ni screenshots kutoka kw nakala flani ya mwanahabari wetu huku nchini..tatizo huwa mnajitamba wakati asilimia kubwa ya maisha ya wananchi baina ya hizi nchi mbili zinalingana...
tena dar huwezi kukuta wamerundikana kama hivyo hata machizi wenyewe hawana life style ya aima hiyo...
swali la msingi una uhakika gani kuwa hao wote ni yatima..?
lete evidence
Bwahaha!!hukulazimishwaMkunya akiongea maneno 100 uongo ni maneno 99,ukweli ni 1 tu
bila shaka hao ni komora na yule tea ya gasWakati ukifikiri hivyo, mkenya anawaza wapi akapate kopo la chang'aa [emoji28][emoji28]
huwa wanazijua kandoroUnaenda kwenye wine mbali sana Kwanza majority ya wakenya hawajawahi kunywa wine
Njoo kwenye bottled water, muulize mkenya yeyote kama alishawahi kuona maji mineral water 1.7 ltrs kwa 23ksh kama sio miujiza [emoji28][emoji28][emoji28]
sawa mjanja naona unakimbia kimbia kama panya pukuKwaheri mzembe
kwa hiyo yatima wapo kenya tu....?Hyo ndio shida ya kuparamia vity tu bila ya kufanya research, hzo ni screenshots kutoka kw nakala flani ya mwanahabari wetu huku nchini..
Hyo ni documetary ya hao watoto wengi wao ni mayatima na hawana pakwend na wakabaki kukaa na wale ambao hawana makaazi baada ya kuungana..
Nyie mnawachekea