Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya siyo maisha kwa kweli,,kenya wamepitiliza kupindukis[emoji1787][emoji1787]
Kwn chokoraa huishi maisha gani, nyie mnacheka watu ambao waliachwa na wazazi wao katika mazingira magumu na wala hawana pa kwenda kubakia mayatima..

Au ndio hyo ni hekima yenu aliyowaachia nyerere, duniani homeless people watele
 
video sina ila ukiniletea jina la kampuni na brand wanazozalisha nitakufanyia maarifa ili upate
Mbona mimi nimekuletea video na kila kitu kimeongelewa mule ndani, uzembe ndio unakusumbua..
Hta kwanza kubishana na wewe ni upuuzi tu, yani umepewa nakala inayoongelea kila kitu lkn bado unangangania upuuzi

KWENDAAA!!
 
wanjigu,unafurahisha sana mtu uwe unazalishs product kiwandani halafu usiwe na transiportation ya kusupply ...

kweli una akili timamu wewe
Aiyeyaaaaaaa!!poa poaaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We hta nishakupuuza
 
Ukiniwekea ushahidi hapa kwamba inamilikiwa na mkenya kwa asilimia japo 5 tu naondoka jamii forums [emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]
Sirudii kuwaekea wazembe nakala ambazo kwao ni ngumu kuziangalia na kuzielewa..

Baba tafuta hoja nyingine, hii tayari imeshakushinda..
 
Hahahahaaa [emoji116][emoji116][emoji3][emoji3][emoji117][emoji117][emoji205][emoji205]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…