Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unadhani hiyo kampuni ina ishu yaani ni zile kampuni za clearing & fowarding ambazo zipo kibao kwenye masuala ya transiportation cargo.......
yaani nimecheka sana leo huyo mrembo mama kayayii katoa kali ya mwaka...

yaani kampuni inayojihusisha na mambo ya electronics anakuja kucompare na vitu ndogo ndogo za transiportation....ni ukichaa wa hali ya juu[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
tena wao wamejikusanya wapo zaidi ya watatu ila yetu mmoja tu kawavua chupi tiyar......wakenya hawana akili wanaleta vitu ndogo ndogo ambazo ni normal ishu anakuja kulinganisha na KODTEC[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
😅😂😂 Sasa huyu mtanzania anaemiliki University US asemeje? komora096

 
Feelings peleka Gongolamboto. Please give us figures za Kenya so that we compare notes. Za Tanzania ni 28 million people
Sio kazi yangu kukulisha kila kitu kamulize uruto atakwambia
 
Naona bado mnaendelea kujifariji tu, we unafikiria kuendesha trucks mia tatu tena marekani ni sawa na kula chipsi zege hapo temeke..
kuendesha tu,,,,,,ni simple deal.......

ni udereva tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…