siyo swahili pekee hata english aliyowachapia kuna misamiati wakenya imewapitahuwezi jua sababu wanaongeaga smart.. ukitaka kuwa maarufu kwenye media ongea ujinga.. kila mtu atamjua.. so hao waliwataja ni zero brains [emoji23]
anyway, kabudi aliwahi kuja kwenu akaongea swahili grade one kila mkenya akamuongelea!
yaani anabishana na watu wanaojua vitu vingi,yeye anaishia kuona kwenye makaratasi na tv vitu nusu nusu,,,,,Si uzembe wako wa kutopenda kusoma plus lack of exposure, so we've nothing to do with ur recklessness.
kuna huyo komora ameleta youtube link hapa anajidanganya eti kuna wakenya wapo U.S.A wanamiliki kampuni ya truck cars,,,,Wakenya mkianza kufikia hapa semeni jambo
View attachment 1657356View attachment 1657357View attachment 1657358View attachment 1657359View attachment 1657360
ngoja aangaike huko google kutafuta ushahidi ila mwisho wa picha tunamkamata mwizi mchana peupe[emoji3][emoji3]Jamaa hawapendi kushindwa[emoji846]kila siku nawaambia Tanzania sio league Yao [emoji2]
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ila watu hawana hurumaView attachment 1657419
Mjapani konoike kama sikoseiMoja wapo ya barabara za mwanzoni mwa miaka ya 2000 ambazo kwa kweli wakandarasi walifanya kazi kitaalamu kwa viwango vya kimataifa na value for money yake inaonekana hadi leo (hakuna uchakachuaji) ni hii barabara ya kuanzia Chalinze hadi Moro. Kuna barabara nyingi tu zilikuja kujengwa baada ya hii barabara lakini ni mashimo tupu na nyingine zilishakarabatiwa vya kutosha. Sikumbuki vizuri ni kampuni gani ilijenga hii barabara lakini kwa kweli they deserve a big round of applause for this![emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 1657428
kama mbele....View attachment 1657470
Endelea kukataa data za WBG tu[emoji1787][emoji1787]Aha haaa
Usizushe swali lingine. Mimi nimekuuliza uliposoma, ilipaswa unioneshe. Then kesi kwisha. Mfano mimi nikiulizwa umesoma wapi kwamba Kenya ni masikini wakati ni mido ekonomi kantri!!!?
Nitakuonesha (lkn usinipopoe na mawe maana siyo mimi nimesema, ni WBG) hapa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1427][emoji1427][emoji1427]
Umeoanic[emoji1787][emoji1787][emoji1787]we dada ni hivi,,
taja aina ya hizo gari zinazozalishwa pia tupe na jina la kampuni inayozalisha hizo gari...
twende taratibu
Tony254I see now days wamewapumzisha punda na mbuzi kuku na ngombe [emoji27][emoji27][emoji27] now wapo huku [emoji116] man eat man society View attachment 1657427
Kwhyo huamini macho yako[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kuna huyo komora ameleta youtube link hapa anajidanganya eti kuna wakenya wapo U.S.A wanamiliki kampuni ya truck cars,,,,
nimemuambia kuwa alete jina la kampuni pia alete jina la aina ya hizo gari wanazozalisha...
soon ataescape,,,ngoja tuone mwisho wake[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
Hii kitu wakenya inawaumiza roho kama inavyowaumiza brt na kimara kibaha 8 lanes