Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hawachekeshi kabisa serious yn, na jinc wanavyoongea na kutamka maneno yao hovyo kabisa, mm kwa hapa EA ukitoa wabongo labda teacher Mpamile wa Uganda, but hawa ******* wa Kenya hamna kitu.
Pale mtanzania anapojipumbaza kisa kazidiwa[emoji23][emoji23]
Mwenzako kaweka chuki pembeni na kuamua kujisemea ukwel, kwn hicho unachokisema wakati anayasema hayo yote ilikua hajui km hawachekeshi..

Endekeza chuki tu
 
Hawa wamekuja juzi tu lakini, huyo mpuyangaji wenu hawafikii

View attachment 1657011
Hao heri wazidi kujipumbaza vijana hko hko youtube, lkn watu wazima na akili zao wanenda churchill kujibudurisha[emoji23][emoji23]

Nani awaalike hao wazee wakujitoa ufahamu katika matamasha tao ili wachekeshe watu na akili na zao..
Kwn commedy mpka ujitie utahira
 
safi sana tunasonga
 
Ebana hilo cheko kama lote🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…