Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Locally kila sehemu 🤣🤣🤣👇👇 hii ndio team yao kubwa gormahia hata banda la choo hawana View attachment 1656320
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acha masihara bana.

Kumbe ndo mana kina kagere walivotakiwa simba wilikimbia kwa spidi bila kuangalia nyuma!!
🤣🤣🤣🤣🤣

Ndanda wakiwa mazoezini. Kumbuka ndanda hawachezi ligi kuu.
 
Hoja kwisha hawa

Na hio sio loan ya mchina au tukupe facts hapa 🤣🤣🤣🤣

 
Nilienda malindi nikakutana na wakenya disco wamevaa ndara wao wanaita slippers [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nilicheka mpaka basi
mi nilikutana nao nairobi ,,,sema walivaa masuti bwanga na miwani black mithili ya bod guard night kali....nilicheka mpaka basi.....
wakenya kuvaa bado sana
 
Maana halisi ya kupindua meza kwenye entertainment.

Wasanii bora - Tanzania
Djs bora - Tanzania

Videos director's bora - Tanzania

Wasanii wenye followers wengi kwenye mitandao ya kijamii - Tanzania

Wasanii wenye youtube subscribers wengi - Tanzania

Wasanii wenye youtube views wengi - Tanzania

Wasanii ambao wakitoa nyimbo zinaingia trending youtube East africa yote - Tanzania

Wasanii wenye tuzo nyingi za kimataifa - Tanzania

Wasanii wanaopiga shows zaidi kwenye nchi mbalimbali - Tanzania

Wasanii wanaotumia lugha yao ya taifa yaani kiswahili kuimba nyimbo zao na nyimbo zao zinapenya na kupendwa hadi na wasioelewa lugha ya kiswahili - Tanzania
 
Una
unahangaika na wa kwetu,wenu je!?
 
Tulinganishe wakat both are 8lanes tulinganishe nn ???🤣🤣🤣 hapo ni moja imekamilika na moja iko kwenye hatua za mwisho za kukamilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…