Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Then Entebbe must be better than Dar cause Mombasa is ahead of Dar in everything expect those dream houses.
Ivi iyo kichwa mbona iko race sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji2357][emoji2357][emoji2357]
 
Tatizo lao kubwa hutaka kujiona wao wanauwezo flani wakutunishiana na sisi lkn bado wanashangaa mambo hayaendi poa
Kutunishiana na nyie misuli?.. kwenye kipi? Niniambacho unaweza jivunia kwamba mme tuzidi. Nasitaki unitajie malls and unfinshed road? Kitu mnatakiwa kuelewa watanzania hatujifananishi na kunyans niwe tu mkweli kabisa.. we aiming way higher WE WANNA BE THE BEST IN AFRICA NA INSHALAH HAVE A SAY IN THIS WORLD ONE DAY.. Kenyans niwe tu mkweli no hard feelings Watanzania hatuwawazagi kabisaa cause tunajua we are better than u. Nyie makaratasi ndo yatawadanganya lakini kwa ground we all know how it goes. Ukiangalia ata media zenu zinatufatilia mno but you rarely hear Tz talking about y'all hapo ndo ujue we ain't your cup of tea.
 
Imeandikwa wapi lazima tutazame mziki za wasani wetu?[emoji23][emoji23][emoji23] Most Kenyans like Tanzanian and Nigerian music compared to Local music.
Kama ni kweli basi kenye ni vilaza. Maana diamond anapataga mpka view million 70+.. kama kenya mnacontibute hata 20m tu mbna mnashindwa kuwapa wasanii wenu atleast 15.
 
That's not a donation[emoji23][emoji23][emoji23]. That's a Chinese facility that was built outside University of Nairobi to help in teaching of Chinese language and culture.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
With a PAX of 1.5 million passengers?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Hahahah vipi unaiogopa capacity yake[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] ndio mtulize kende izooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Imeandikwa wapi lazima tutazame mziki za wasani wetu?[emoji23][emoji23][emoji23] Most Kenyans like Tanzanian and Nigerian music compared to Local music.
Hakuna msanii wenu hata mmoja mwenye followers million 2 🤣🤣
 
That's not a donation[emoji23][emoji23][emoji23]. That's a Chinese facility that was built outside University of Nairobi to help in teaching of Chinese language and culture.[emoji23][emoji23][emoji23]
Helping is donating
English imewapita left kichizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…