Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kumuitisha yake ni dhahiri umeamua kumfukuza humu ndani.
bro 2017 tulianzisha sub battle humu humu ya simu[emoji23][emoji23][emoji23]

unakumbuka kilichotokea nadhani.
 
kumuitisha yake ni dhahiri umeamua kumfukuza humu ndani.
bro 2017 tulianzisha sub battle humu humu ya simu[emoji23][emoji23][emoji23]

unakumbuka kilichotokea nadhani.
Hahahaaaa jamaa mafukara sana, teargass nmemuwekea chombo nkaona kakaa kmy hope ameelewa somo, mm nlishasemaga watz wenzangu tukitaka twende nao sawa hawa watu ni kwamba ukiona haelewi nenda naye ground lazima atii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona ushamaliza kazi ya mjengo[emoji23][emoji23]. Ebu tuekee picha ya kazi umefanya leo.
 
Na ukizd kuongea ntazd kukushangaza, km unabisha tuendelee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
Leo umepata mtu wa kuchukua korosho zako?[emoji23][emoji23] Mtu ameniambia wewe ni delivery guy. Are you working on commission or what? [emoji1787][emoji1787][emoji1787] What are the terms of payment?
 
kumuitisha yake ni dhahiri umeamua kumfukuza humu ndani.
bro 2017 tulianzisha sub battle humu humu ya simu[emoji23][emoji23][emoji23]

unakumbuka kilichotokea nadhani.
Gypsum ndio za kukimbiza watu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…