Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ hutoki hata siku moja
Hii ndio hukumu yako phase one dar to moro
 
From dar to makutopora 1.4b usd hahahahahhahahah hata mvuta bangi hesabu hio haimuingiii akilini πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

wasikilize walio saini mkataba hawa hapa πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ watu wametoa pesa 10 months ago wakat SGR imeanza 2017 ww akili yako inakinyesi cha punda komora096 shangilia na hapa




 
ichoboy01 mbona leo hujaeka hii?[emoji23][emoji23][emoji23]


Hio ni official source??? Ukipata official source inayotambulika tag me 🀣🀣🀣 nchi ambayo madaktari wanagoma kila baada ya wiki mbili mara mshahara mara utaskia hawana vitendea kazi alaf unazungumzia health care systemπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tulichoahidiwa miaka 50 πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡






Tulicholetewa baada ya miaka 50 ama kweli mchina hataingia peponiπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡




wadau naombeni mwaka huu uishe kwa salama bila ugonvi na matusi wala hasira🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hata upige nduru kila mtu anajua health system ya Kenya is better than all East African countries[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu ingine ndio hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]


 
Hata upige nduru kila mtu anajua health system ya Kenya is better than all East African countries[emoji23][emoji23][emoji23]. Alafu ingine ndio hii hapa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]


According to this ???πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…