Ukinijibu swali la kwangu nililokuuliza kule juu ndio ntakujibu faster sana..Sasa mimi nakuuliza maswali 2 tu,ili nione je unajua unachokizungumzia!
1.kaligraph alitokea kwenye category ngapi?
2.ni category gani alikuwa nominated?
Jibu hayo maswali nikufundishe kitu mrembo
Anataka usaidizi[emoji23][emoji23][emoji23], Dar iko na soko moja lakini kelele wanapiga hapa unaezadhani kuna soko kumi[emoji23][emoji23]Mwenzako kaingia kw kilometers[emoji1787][emoji1787]
Wamesema wao hawana malls kw sababu wamezoea masoko, sasa wanashangaa pia hku kuna masoko..Anataka usaidizi[emoji23][emoji23][emoji23], Dar iko na soko moja lakini kelele wanapiga hapa unaezadhani kuna soko kumi[emoji23][emoji23]
Nenda google ka-search BET Awards 2017 halafu ujue sisi sio size yenu international na hiki kiswahili chetuTatizo hamna msanii aliyekua nominated BET na kujisifu kwenu, hta kw movie pia ni hvo hvo..
Kenya hamtuwezi kimataifa
Siku utapata soko ya kiwango hii kenya nzima mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣👇👇Anataka usaidizi[emoji23][emoji23][emoji23], Dar iko na soko moja lakini kelele wanapiga hapa unaezadhani kuna soko kumi[emoji23][emoji23]
Narudia tena, hakuna msanii yyte yule wa tanzania aliyekua nominted BET wewe km unabisha nitajie categoryNenda google ka-search BET Awards 2017 halafu ujue sisi sio size yenu international na hiki kiswahili chetu
Wakati Kisumu inajenge soko mbili[emoji23][emoji23][emoji23]Wamesema wao hawana malls kw sababu wamezoea masoko, sasa wanashangaa pia hku kuna masoko..
Tena mji km dar kuwa na soko moja ni aibu sana
Inajenga soko ziko wapi mbona hazionekani 🤣🤣🤣🤣 au zinajengwa juu yambinguWakati Kisumu inajenge soko mbili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kiwango ya godown?[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu ni soko moja[emoji1787][emoji1787]Siku utapata soko ya kiwango hii kenya nzima mm nafunga acc jamii forum [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
View attachment 1651772View attachment 1651773View attachment 1651774
Uhehehehehehhehehehehhehehehehehhehehehehehehehehehehhehehehehehehe leo umelia sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇Kiwango ya godown?[emoji23][emoji23][emoji23] Alafu ni soko moja[emoji1787][emoji1787]
Siku utapata soko ya kiwango hii kenya nzima mm nafunga acc jamii forum 🤣🤣🤣👇👇
View attachment 1651772View attachment 1651773View attachment 1651774
wewe ni mzee wa kukurupuka,ndio sababu wakati wote unakula za uso.Wakati Kisumu inajenge soko mbili[emoji23][emoji23][emoji23]
Kibuye Market[emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]Inajenga soko ziko wapi mbona hazionekani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au zinajengwa juu yambingu
Modern markets in entire Tanzania haifiki hata 8. Kama unapinga weka picha[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ni mzee wa kukurupuka,ndio sababu wakati wote unakula za uso.
hiyo league ya masoko unayoanzisha huiwezi,mind you tumeanza ujenzi wa masoko 2yrs ago,tulikuwa tukitumia masoko local ya mbao.saa hii ni mikoa muchache sana haina soko.
hiyo soko ya magomeni aliyokupa ichoboy sioni ikipata upinzani wowote kenya nzima[emoji23][emoji23][emoji23],achilia mbali ya moro,dom na hata kisutu dsm.