Hatujaahidiwa mchoro sisi, km nyie mnasubiria treni za pale kw ule mchoro msahau..Tulicho ahidiwa na jubilee ni hichi[emoji116][emoji116]
View attachment 1650682
tulicholetewa na jubilee baada ya kupata kura [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1650683
Au nasema urongooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
300km labda itakua ni reli ya chato hyo1.2b usd/ 300km remember ni electric rail eka akilini hio
[emoji1787][emoji1787]Morooo moja[emoji91][emoji91][emoji91]SGRView attachment 1650710View attachment 1650711
Sio kibera tu bali ni Kenya nzima, Mkenya ni marufuku kumiliki ardhi.Sasa unashindana na mm km kibeara watu hawamiliki chochote zaidi ya kuhifadhika tu
Morooo moja[emoji91][emoji91][emoji91]SGRView attachment 1650710View attachment 1650711
Station za SGR Tanzania ni reasonable. Mtu anataka tujenge station kubwa kwenye town yenye watu 10000. Kwenye mradi huu, Pesa zinatumika accordingly!vituo vidogo classic na vinamuonekano mzuri.. sio wale wengine ni mahekalu ya kichinese
Hakuna mkenya hata 1 mwenye followers zaidi ya million 3 halafu Utasikia wana internet penetration kubwa 🤣🤣Instagram 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿View attachment 1650685
kuna mtu nilimwambia tofauti ya mtz na mkenya haiko kwenye chochote isipokuwa matumizi na matumizi sahihi ya akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Station za SGR Tanzania ni reasonable. Mtu anataka tujenge station kubwa kwenye town yenye watu 10000. Kwenye mradi huu, Pesa zinatumika accordingly!
5km hadi mkopwe? Kumbe mmeisha kiasi ichoJKIA CBD RAIL DEAL UPDATEView attachment 1650594
Kama Yule kichaa Mashalove ana followers wengi kuliko ma celeb wengi Kenya 🤣🤣🤣Hakuna mkenya hata 1 mwenye followers zaidi ya million 3 halafu Utasikia wana internet penetration kubwa 🤣🤣
Umeumizwa sana naona, so ukatulize akili huenda utaanza kurudi normal..manake ulipofikia nikubayaSio kibera tu bali ni Kenya nzima, Mkenya ni marufuku kumiliki ardhi.
Labda classi ya Buzavituo vidogo classic na vinamuonekano mzuri.. sio wale wengine ni mahekalu ya kichinese
Kazi imeenda shule alafu kitu long term hii bendera kijani manjano,nyeusi na blue daima jina lako Tamu tutakupenda daima😃
Kwhyo nyinyi hamuwazi nje ya circle kabisa, au unafikiria SGR ni mradi wa miak miwili mitatu..Station za SGR Tanzania ni reasonable. Mtu anataka tujenge station kubwa kwenye town yenye watu 10000. Kwenye mradi huu, Pesa zinatumika accordingly!
Maana ya internet penetration ni followers wengi insta sio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna mkenya hata 1 mwenye followers zaidi ya million 3 halafu Utasikia wana internet penetration kubwa [emoji1787][emoji1787]
Matumizi sahihi ya akili ni kujenga kibanda cha kuku katika mradi wa takribani miaka 50 na kwenda sio[emoji1787]kuna mtu nilimwambia tofauti ya mtz na mkenya haiko kwenye chochote isipokuwa matumizi na matumizi sahihi ya akili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].