Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mna daraja gani la maana[emoji23][emoji23]

likoni mnajenga flating ya nondo mwaka huu[emoji38][emoji38],acha undezi bana.
Tukijenga madaraja 80s na 90s, stadiums pia vile vile, mabwawa pia vile vile[emoji23][emoji23]
Hatuko sawa jomba
 
Tena naskia raha unavyozidi kuwehuka[emoji23][emoji23]
Mahindi mlipeleka lini
sasa mahindi tulipelekea wahanga,kwani si useme shida yako saa hii unataka mahindi au ni raha inakuchanganya!!![emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hiyo kibaka road hata haiezifikia Ngong' road and yet you are dreaming about Thika[emoji23][emoji23]
utazeeka kabla ya muda dogo kupambana na Tanzania
kununanuna hakukusaidii
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
sasa mahindi tulipelekea wahanga,kwani si useme shida yako saa hii unataka mahindi au ni raha inakuchanganya!!![emoji38][emoji38][emoji38]
Nishakupuuza..
Nitag ukipata ushahidi[emoji122][emoji122]
 
Usifananishe Tanga suburbs na hizi takataka

This is why that area called a slum

Kaloleni slums


Though yapo maeneo mazuri sababu awali was a well planned estate, don't take this excuse

 
Tukijenga madaraja 80s na 90s, stadiums pia vile vile, mabwawa pia vile vile[emoji23][emoji23]
Hatuko sawa jomba
na saa hii ndio mko na train ya 47,this 2020[emoji23][emoji23][emoji23].

kenya nchi ya vituko.
 
Nishakupuuza..
Nitag ukipata ushahidi[emoji122][emoji122]
unampuuza nani[emoji28][emoji28][emoji28].

mahindi tulitoa,kama unayataka nawewe useme.sio unaulizia mahindi ya msaada 2017 this 2020.
 
Umeangalia barabara zenye ziko marked ukakosa sasa unaniletea bus stand?[emoji23][emoji1787][emoji23]. Is bus stand a road?[emoji1787][emoji23][emoji23]
Mbona unarukaruka, Mombasa nzima niletee suburbs kama za Tanga 😅😅
 
Leta slum imepangika hivyo huko Kenya!
 
So Avic is the only well planned area in Dar is slum?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] And then to make matters worse it's only 60,000m²[emoji23][emoji1787][emoji23]
sisi huwa tunakubali dsm,haikuwahi kupangwa.

lakini angalia kitu inaifanya nairobi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Kaloleni slum ndio imekuletea hizi hasira zote?[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787].But sijadanganya, Tanga ikiletwa Kenya will be classified under slums[emoji23][emoji23]
Hahahaha sasa kama 90% ya miji yote Kenya ni full of slums unategemea wafanyaje? 😅😅😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…