Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hii ya leo leo
Hahahaha, zaidi ya F-5 figheter jets ambazo zipo tano tu Kenya nzima, na zimechakaa sana, ndio hizo zimepita hapo katika formation ya "Spear head", hakuna silaha yoyote iyoonyeshwa hapo, hizo ndeg e na helcopters zingine zote sio "Combatant", hizo ni kwa ajili ya "transportation tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeona mkuu,unakuta Una mastres yako unataka utulivu, speaker inaanza kudunda,kidogo kidogo Mataa ya lesser yamewashwa hapo siunachanganyikiwa😏
 
Unaona kama Kenya ni wazimu ndio tuwe na F-5 jets tano pekee? Wewe pekee ndio huwa unarudia huo uongo bila hata aibu. Hata Watanzania wenzako hawasemi kitu cha ajabu kama hicho.
 
Hahaha, Bajeti ya nchi yenu ni karibu mara mbili ya Tanzania, lakini bado Tanzania inawazidi kwa mbali sana katika kila kitu, inajenga reli ya SGR, inajenga miradi miku wa sana ya umeme wa maji, inajenga barabara za njia nane, imeweza kujenga miradi ya umwagiliaji maji mara 4 zaidi ya Kenya, imeweza kusambaza maji miji yote hatuna shida ya maji, imeongeza uzalishaji wa chakula kufikia 120%

Bajeti kubwa ya jeshi lenu haina maana kamanashindwa kuwamalizs Alshabaab, sisi ndani ya wiki mbili tu tumewashinda magaidi wa Msumbiji waliosumbua kwa zaidi ya miaka mitatu sasa. KDF is the weakest Army in EA.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani ulitaka tuonyeshe ndege zetu zote 150?[emoji23][emoji23][emoji23] Ama unadhani tuko na ndege 34 kama nyinyi?[emoji23][emoji23]
 
Unaona kama Kenya ni wazimu ndio tuwe na F-5 jets tano pekee? Wewe pekee ndio huwa unarudia huo uongo bila hata aibu. Hata Watanzania wenzako hawasemi kitu cha ajabu kama hicho.
Tony, ukifanikiwa kunionyesha ushahidi wowote kwamba Kenya inazo ndege aina ya F-5 zaidi ya 5/6 nitatoka JF. Zilikua saba, moja ilitunguliwa na Alshababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I can feel your pain[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Tony, ukifanikiwa kunionyesha ushahidi wowote kwamba Kenya inazo ndege aina ya F-5 zaidi ya 5/6 nitatoka JF. Zilikua saba, moja ilitunguliwa na Alshababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena zimetoka tano sasa ni 5/6?[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23]
 
Hauna cha maana cha kusema isipokuwa tu kuimba propaganda za sisiemu. Najua hampendi facts lakini hata hivo facts on the grounds haibadiliki.😂😂

Military ranking ya East Africa👇👇

Ethiopia
Kenya
Ugandan
Tanzania
 
Chagua number moja acha kufanya guess work hapa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. 5/6 ni namba gani?[emoji23][emoji1787][emoji23]
Tano huioni hapo, wewe ninakujua akili yako ni ndogo sana, unaelewa maa na ya 5/6?, pimbi wewe
 
Hzi terms zngine za kingereza km wengine hatuzielewi tuachane nazo jamani[emoji23][emoji23]

We unajua maana ya combatant kwel au unabwetuka tu jamani..
 
Hauna cha maana cha kusema isipokuwa tu kuimba propaganda za sisiemu. Najua hampendi facts lakini hata hivo facts on the grounds haibadiliki.[emoji23][emoji23]

Military ranking ya East Africa[emoji116][emoji116]

Ethiopia
Kenya
Ugandan
Tanzania
Facts ni kwamba KDF imeshindwa kuwamaliza Alshabaab badala yake KDF wameuliwa wengi na silaha zao kutekwa na kuharibiwa, wakati TPDF ndani ya wiki mbili wamewashindia magaidi Msumbiji, zaidi ya facts za ushindi, ni fact gani tena muhimu za jeshi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tony, ukifanikiwa kunionyesha ushahidi wowote kwamba Kenya inazo ndege aina ya F-5 zaidi ya 5/6 nitatoka JF. Zilikua saba, moja ilitunguliwa na Alshababu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unataka ushaidi wa aina gani? Kwani mimi ni mwanajeshi nikuletee secret documents? Kuna sources nyingi zimepostiwa hapa JF miaka nenda miaka rudi na Wakenya wengine lakini wewe umeamua kuzipuuza halafu unaniitisha evidence? Kama umepuuza evidence zote ambazo unewekewa hapa JF kwa miaka nyingi basi mbona mimi niwaste energy yangu kubishana na wewe. Amini unachotaka lakini nimeanza kuona wewe sio mtu muungwana kama nilivyokuwa nikifikiri.
 
Chagua number moja acha kufanya guess work hapa[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. 5/6 ni namba gani?[emoji23][emoji1787][emoji23]
Hahahaha, shule zenu zaidi ya ukabila hamna kitu mnasoma, inajua maana ya +1 or - 1 variation?
 
Kwaiyo ww neno steel linakupagawisha sana???
Umeona sasa ulivyochanganyikiwa kw kukurupukia mambo..
Emu tuambie wewe mtu akitaka kujenga kitu kw low budget anatakiwa atumie material gani[emoji848][emoji848]
 
Mwisho wa siku vingi tulifanya kitambo[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…