Iyo ndio kuprove hata waTz hawajui and they dont care about Kenya indepence day..Ni date ya uongo hio.
Itajengwa kutoka Clay works ambayo ipo Thika road hadi Kenyatta National Hospital ambayo ipo upperhill. Sijui ni kilomita ngapi na hawajasema kwenye hii article, pengine niangalie kwenye mtandao au google maps. Lakini haiwezi kuzidi kilomita 20.Hiyo ipo Thika road, tuambie itajengwa hadi wapi na kwa bajeti kiasi gani, kwasababu hili kampuni la China limepata kandarasi ya Ksh 5.6B pekee, wewe tuambie kwa hiyo pesa, itajenga eleveted road kiasi gani?
Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.Itajengwa kutoka Clay works ambayo ipo Thika road hadi Kenyatta National Hospital ambayo ipo upperhill. Sijui ni kilomita ngapi na hawajasema kwenye hii article, pengine niangalie kwenye mtandao au google maps. Lakini haiwezi kuzidi kilomita 20.
Mjifunze kusoma articles tunazopost huku. Huwa tunafanya kazi ngumu kuwatafutia sources lakini mnakataa kusoma halafu mnabakia kuamini mazingaombwe mnayotaka.
ttdf'%#%%÷%-=tNairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
Kumbe kweli,BRY ya bongo ina watesa.ikija SGR sijuibita itakuwaje?Itajengwa kutoka Clay works ambayo ipo Thika road hadi Kenyatta National Hospital ambayo ipo upperhill. Sijui ni kilomita ngapi na hawajasema kwenye hii article, pengine niangalie kwenye mtandao au google maps. Lakini haiwezi kuzidi kilomita 20.
Mjifunze kusoma articles tunazopost huku. Huwa tunafanya kazi ngumu kuwatafutia sources lakini mnakataa kusoma halafu mnabakia kuamini mazingaombwe mnayotaka.
Joto lakini inawezekana kuwa ni stations pekee zitakazoinuliwa juu na brt yenyewe ikawa chini. Bado sijaona hio design yake. Wacha tutajua baadaye. Ila fact ni kwamba Brt inajengwa Kenya na wala sio mambo ya kupaka rangi.Hiyo ipo Thika road, tuambie itajengwa hadi wapi na kwa bajeti kiasi gani, kwasababu hili kampuni la China limepata kandarasi ya Ksh 5.6B pekee, wewe tuambie kwa hiyo pesa, itajenga eleveted road kiasi gani?
Hzi hutaki wewe🤣🤣🤣👇👇👇👇Tuzo ya kuingia ndani kutumia dirisha?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]View attachment 1645397
What was the cost of your BRT phase 1 alafu ulinganishe hiyo bei na hizi porojo unatema hapa[emoji23][emoji23]Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
Munajenga wapi BRT hebu tuoneshe 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Siku hizi hutaki mambo za construction board?[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nairobi expressway ni 27km halafu ni 6 lanes. Wacha kuchanganyikiwa joto. Halafu daraja ya wanaotembea kwa miguu is not part of this project. Usichanganyikiwe.Nairobi express road ni 11K tu, unajua bajeti yake ni kiasi gani?, kumbuka haina station hiyo Nairobi Express way, vituo ndio vya gharama kubwa sana. Kshs 5.6B haiwezi jenga hata 1km, iweje hiyo bajeti wanasema wanajenga na stations na madaraja ya juu ya wanaotembea kwa miguu?, wacha kusema uongo, hiyo bajeti ni vituo na madaraja ya juu pekee.
So hio ndio BRT 🤣🤣🤣🤣🤣joto la jiwe ichoboy01
Kama muonavyo kwenye picha hii, kampuni inayojenga hii BRT inaitwa STECOL. Hata wameshaanza kuweka mabati ya kuziba site ya ujenzi ili kuzuia watu kupita na kusecure site for construction. Ujenzi ndio unaanza tu by next year pillars zitakuwa zinaonekana.
View attachment 1645404
Sio sisi tuliosema 🤣🤣👇👇👇
Wewe you are too primitive for me to argue with. Wacha nidebate na joto la jiweArticle haisemi kwamba mtainua pillars for brt lanes bali mtatumia Thika road which means mtapaka rangi, hiyo footbridge uliyoweka hapo ita act km station [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Revival kumbe ilikua imekufa 🤣🤣🤣Lapsset ni white elephant[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji116][emoji116]
Wewe you are too primitive for me to argue with. Wacha nidebate na joto la jiweArticle haisemi kwamba mtainua pillars for brt lanes bali mtatumia Thika road which means mtapaka rangi, hiyo footbridge uliyoweka hapo ita act km station [emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣 so munatumia 5.6b ksh kupaka rangi thika once again ??? Mlilaaniwa na naniWewe you are too primitive for me to argue with. Wacha nidebate na joto la jiwe