Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ohhh nye nye nye sisi tuna best health care πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ covid millionares

 
Kwn hayo mabasi ndio mnatumia kusafirishia watu dar[emoji23][emoji23]
Acha ujinga wewe au unafikiria hku pia hatuna mabasi ya mikoani, nimeshakwambia tayari tokea mwanzo..km hujui kitu usione aibu kuliza..

Alafu unasema eti nganya ni umaskini, we kumbe hujui kitu ni maneno tu km kawaida yenu watanzania..zaidi ya ya kupiga domo kilichobaki kichwani weupe..

We unafikiria ile gharama wanatumia ku pimp ngaya nairobi ni kila mtanzania anaweza mudu
 
Uko na ujinga sana, we make our own buses we don't import from outside the country like you[emoji23][emoji23]
What!! Do you make mitsubish center? And fusoz??

Zamani dar kulikua na gari aina ya DCM zilikua zinakuja alafu tunazimodify lakini hatujawahi kusema tunatengeneza gari nyie mnaimport centre kwasababu ya shida na umaskini mnafunga body na kupiga rangi mnasema mnatengeneza 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣chinga khabhisaaaaa!!!!
 
Uko na ujinga sana, we make our own buses we don't import from outside the country like you[emoji23][emoji23]
Sisi TZ ,kadi ya gari huonyesha idadi ya abiria na rangi ya gari.
Magari yenubyalivyochafuka kwa rangi hata huelewi rangi za gari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…