Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahyo mpk watafutwe, huwezi kuwaona kirahisi rahisi au co[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Rudi ukasome kauli ya mwenzako hko juu..
Na sawa na mtu kwenda kagera alafu aanze kuwaita watanzania vichaa
 
Me napenda mweusi ila asiwe na weusi wa kikenya (hapo tutatoa toto tamu sn)[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa mbona unaanza matusi wakati wewe mwenyewe ndio uliyenianza kunijibu toka jana?, any way siwezi kukulaumu hizo ni hasira za kuishi katika slums, pole.
Sorry I ain't from Tandale maybe ua collapsed memory need some jogging
 
Yani hapo pa mchele ndio usipaguse kabisa[emoji23][emoji23]
Hakuna siku nimekula mchele wa tanzania boss, yani sahau kabisa kuhusu hilo..
Nimekuwekea link kuthibitisha ninalosema, na wewe weka link kuthibitisha unalosema sio blaah blaah. Hakuna siku inayopita bila ya wewe kula chakula au tunda toka Tanzania, kumbuka 50% ya cows wanaochinjwa Kenya wanatoka Tanzania.
 
Kwn siku hizi floors ni neno moja sawa na level[emoji1787][emoji1787]
Jamani jamani jamani[emoji23]
Jichoboy mbona unazidi kuwehuka
Hzo level unahesabu vipi???🤣🤣🤣 Hebu tutoe ushamba uonekane unaakili kidogo
 
Tembea kenya wewe nenda mpka mashinani ukakutane na watu, achana na hzo kasumba zenu za kijinga..

Kuna jamii kenya hata hujawai waona, utashangaa nakwambia..
Tafadhali usiinglie topic isiyokuhusu! Sijasema kuwa Kenya watu wenye ngozi nyeusi ni asilimia 100. Ila nimesema asilimia kubwa ya wakenya ni weusi.
 
Tafadhali usiinglie topic isiyokuhusu! Sijasema kuwa Kenya watu wenye ngozi nyeusi ni asilimia 100. Ila nimesema asilimia kubwa ya wakenya ni weusi.
Asilimia kubwa ipi na wakati kenya ina county 47[emoji1787][emoji1787]
Logic ya kwangu imekushika pabaya
 
Kwhyo mleo kuwa mweupe kwako ni archivement, mungu wangu..

M kukua kwangu yani watu weusi mtaani wanahesabika na wengi wao ilikua ni wakuja.
Yani hilo hku ni jambo la kawaida wala sio km dar kw majamaa wa make-up..
Napenda wanawake weupe, wapo wanaume wanapenda wanawake weusi, wewe kama Mweusi usijiskie vibaya. Jiamini na ujweke vizuri tu na uwe msafi wa mwili na Roho utapata anaevutiwa nawe.
Usiwaonee wivu wanawake weupe
 
Asilimia kubwa ipi na wakati kenya ina county 47[emoji1787][emoji1787]
Logic ya kwangu imekushika pabaya
😂😂😂 Hivi unaelewa unachokisema? Kwa hiyo county zenu zimegawanywa kwa kigezo cha rangi ya ngozi?
 
Nimekuwekea link kuthibitisha ninalosema, na wewe weka link kuthibitisha unalosema sio blaah blaah. Hakuna siku inayopita bila ya wewe kula chakula au tunda toka Tanzania, kumbuka 50% ya cows wanaochinjwa Kenya wanatoka Tanzania.
Link gani hata aliyeandika article under hilo gazeti ni views anataka..
Hakuna hta ushahidi aliouweka ni porojo tu kaandika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…