Inayopeleka magari kote kote vs ya pande mbili[emoji23][emoji23]Two level vs three level wapi na wapi mzee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha, hii nchi sijui wanatumia nini kufikiria, DMU ya serikali inatoza gharama kubwa kuliko private sector,"man eat man country".Sikiza wenye akili zao sasa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Leo three level inashindanishwa na two level π€£π€£π€£πππ haiwezi kuitwa ingerchange ikiwa inapeleka magari sehemu moja nafkiri ushanielew π π π πInayopeleka magari kote kote vs ya pande mbili[emoji23][emoji23]
Yani mumepigwa aisee, majamaa wamefanya kuwajengea msalana alafu tosha..
Angalia pangani wewe ilivyoundwa
Lazima warudishe madeni lasivo 80% of the budget itakua inaenda kwa mchina kulipa deni π€£π€£π€£π€£π€£π€£Hahahaha, hii nchi sijui wanatumia nini kufikiria, DMU ya serikali inatoza gharama kubwa kuliko private sector,"man eat man country".
Kwn ukipungukiwa na 5% ndio hufai kusema km hatujitoshelezi..Kwahiyo huyo mlevi wenu alikua amelewa wakati akizungumza?, vipi kuhusu hii?
Millions of Kenyans go hungry every day. Why, and what can be done
Since 2010 the number of Kenyans going hungry has been growing. The country now suffers from serious levels of hungertheconversation.com
Km msalaba vile[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Only three level interchange in east and central africa π€£π€£π€£ππππKm msalaba vile[emoji23][emoji23]
Si heri mgelitengeneza round about tu basi..
Yani interchange inayogawa gawa magari ya kwenda direction mbili tu, kituko cha mwaka[emoji1787]
Endelea kuleta tweets za watu wa Busia border wenye hata hawajui Nairobi Central Station iko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji23]Sikiza wenye akili zao sasa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]
Only three level interchange in east and central africa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1644059
Kwan ww umeweka nn?? Au sio twitter hio π€£π€£π€£π€£π€£Endelea kuleta tweets za watu wa Busia border wenye hata hawajui Nairobi Central Station iko wapi[emoji1787][emoji1787][emoji23]
Jipe matumaini kwa vile hamukua na three level mpaka ilipokamilika ubungo π€£π€£π€£π€£ mukihesabu floors munahesabu kwenda chini ????ππππPangani nayo iko South Africa ama Morocco?[emoji1787][emoji1787]View attachment 1644061View attachment 1644060
Hiyo tweet ya The Star. That's a big magazine company located in Nairobi. Wewe umetuekea tweets za watu wa Busia, Moyale na Mandera.[emoji23][emoji23][emoji1787]Kwan ww umeweka nn?? Au sio twitter hio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au hiii sio twitterπ€£π€£π€£πππHiyo tweet ya The Star. That's a big magazine company located in Nairobi. Wewe umetuekea tweets za watu wa Busia, Moyale na Mandera.
π€£π€£π€£π€£πππ
Sasa tubomoe Pangani hili nyinyi pekee ndio mkue na three level interchange?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]Jipe matumaini kwa vile hamukua na three level mpaka ilipokamilika ubungo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mukihesabu floors munahesabu kwenda chini ????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]