Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yani hapo mlipigwa, magari yote yanaelekea only two directions..
Cheki pangani ilivyochorwa wewe inagawa magari pande zote zote kw plan ya kueleweka
 
Yani hapo mlipigwa, magari yote yanaelekea only two directions..
Cheki pangani ilivyochorwa wewe inagawa magari pande zote zote kw plan ya kueleweka
🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇 musubiri yesu ashuke kuwasaidia
 
Interchange inayopeleka magari in only two direction[emoji23][emoji23]
Eti kisha jamaa anataka ishindanisha na pangani inayogawa magari kote kote at the same time
🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇👇

Kwahiyo huyo mlevi wenu alikua amelewa wakati akizungumza?, vipi kuhusu hii?
 
Wapi wale watanzania walikuwa wanabweka juu 100 bob? Haya sasa ndio hii fare ya Commuter train from CBD to JKIA ni 500 bob. Tafuteni microphone mpige nayo nduru[emoji23][emoji23]

🤣🤣🤣🤣👇👇👇

Interchange inayopeleka magari in only two direction[emoji23][emoji23]
Eti kisha jamaa anataka ishindanisha na pangani inayogawa magari kote kote at the same time
Two level vs three level wapi na wapi mzee 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sikiza wenye akili zao sasa[emoji1787][emoji1787][emoji116][emoji116]

Subiria NCR ike iwaumbue hao wazee wa kupiga kelele bila information yyte km ilivyokua ya ile waliposema fare ya commuter itakua 100 mwisho wakaumbuka..

Wakenya huwajui wewe
 
🤣🤣🤣🤣🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿👇👇👇👇👇

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…