Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio kitu Ichoboy alikazana nayo kuwa ni 12 lanes? Hata nane haifikii[emoji23][emoji23]
Hahahahaaa hyo barabara ni hatari hapo haijapigwa yote yn ni ngumu kuelezea cz ikifika mbele inatanuka na ni pana balaa ina madaraja mengi na inavutia sn, estim kwa kweli wapo vzr mno, ngj apatikane mtu apige picha kamili cz apo ni mwanzo mwanzo ukifika mbele kdg inaanza kutanuka af mbele kdg zinaachana.

Yn ni the best architecture imefanyika hapo tulia cku iletwe humu [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Barabara ya six lanes ndio umeandikia insha ya 200 words?[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…