kwaiyo yy sio mjinga ila nyie ndo wajinga, at the end of the day faida yke inakuja kuwacost nyinyi🤦🏾♂️Anataka magari yaongezeke barabarani ndio arudishe pesa yake haraka. Metro na Brt zitareduce traffic. Hivi unadhani huyu investor ni mjinga?
Hakuna mtu mjinga hapa. Tutafaidika kwa kuwa na barabara pana ambayo haitakuwa na jam na itakuwa express bila kusimama.kwaiyo yy sio mjinga ila nyie ndo wajinga, at the end of the day faida yke inakuja kuwacost nyinyi🤦🏾♂️
yaleyale ya bagamoyo port et tusiendeleze bandari yoyote ile...Anataka magari yaongezeke barabarani ndio arudishe pesa yake haraka. Metro na Brt zitareduce traffic maana Wakenya watawacha kununua magari na kupanda metro. Au watawacha magari nyumbani na kupanda metro. Hivi unadhani huyu investor ni mjinga?
Je wajua hizo shilingi 37 za Tanzania ni sawa na shillingi mbili za Kenya?
Je wajua hizo shilingi 37 za Tanzania ni sawa na shillingi mbili za Kenya?
Hii ni level Kenya wameshindwa!welcome home
Hiyo iko kwa plan.Suggestion nzuri lakini hii sio government project. Hii ni private project. Investor ndiye anaamua mambo hayo.
Wacha bwanaaa!!!!!!!!🤭🤭🤭🤭🤭🤭 😂😂😂😂😂One of the best hospitals in the continent.View attachment 1639803