Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna mtu anadanganya kama Magufuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23]. Huyu ameshinda hadi conmen kwa uongo.
According to u lakini wanauchumi wenu wote wanajua magufuli anafanya kazi gani πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… hata corona alidanganya leo hii anaonekana anaakili kuliko mtu yoyote duniani
 
Kwa kweli umeumia[emoji23][emoji23][emoji23] Picha yangu moja unareply kwa kutumia picha ishirini just to make your point[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…